dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
Pole mkuuNi muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto ninazopitia currently but nakosa nisemezane na nani?
Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.
Sijui nifanyeje?
Asante Swahiba Cha kuongeza kila jumatatu na jumatano usiku awe anasikiliza radio TBC Taifa kuanzia saa nne na robo mpaka saa sita usiku Kuna kipindi kizuri sana. Na wewe uwe unasikiliza anza kesho halafu Alhamis asubuhi nipe mrejesho πππMaumivu waliyopitia watu wa Arsenal msimu uliopita unayajua? And now wako wapi?
Chelsea sahivi wana hali gani? Wanashuka daraja. Lakini bado wana imani, msimu ujao watatoboa.
Basi nawe yafaa uwe na subra π
Kila gumu lina mlango wa kutokea.
Pole kwa unayopitia. Kama shida ni mtu wa kumwambi, sidhani kama unakosa watu wa karibu unaowaamini.
AaaminaNamshukuru Mungu no matter how hard the situation is, huwa nahakikisha nina mtu wa kumueleza hata kama dunia yangu inataka kugawanyika vipande vidogo vidogo na akanielewa bila kunihukumu, tena wengine tulikutana tu humu humu JF..!!
Ninachotaka kukuambia ni kuwa humu ndani kuna raia wa kila namna ila bado wapo wale watu ambao ni bora kabisa hutojuta kuwafahamu, tafuta kamtu kako kamoja ambako katakuwa nawe, iwe jua iwe mvua..!!
Pole sana sana kwa unayoyapitia, Mungu atakuvusha salama, msihi tu kuwa kamwe asikuache uaibike, haijalishi itakuwa mbaya kiasi gani ila hatokuacha, na kumbuka kamwe Mungu hawezi kukupa jaribu kubwa kuliko ustahimilivu wako, 'DHAHABU huwezi ng'ara mpaka kwanza upite kwenye moto'..!! USIOGOPE..!
ETH na yeye aliposema END OF ERA kwa Klopp na Pep anayoyapitia ni malaini ??? π€£π€£π€£π€£Magumu mnayopitia hata Lampard haelewi π€£π€£π€£
Kunitajia timu yangu SijapendaπMaumivu waliyopitia watu wa Arsenal msimu uliopita unayajua? And now wako wapi?
Chelsea sahivi wana hali gani? Wanashuka daraja. Lakini bado wana imani, msimu ujao watatoboa.
Basi nawe yafaa uwe na subra π
Kila gumu lina mlango wa kutokea.
Pole kwa unayopitia. Kama shida ni mtu wa kumwambi, sidhani kama unakosa watu wa karibu unaowaamini.
Bado naona upo kwenye tittle race π€£π€£π€£Kunitajia timu yangu Sijapendaπ
ππHiyo ya kina Madueke?Kunitajia timu yangu Sijapendaπ
Oh no. Donβt be thatβ¦Huu nao ni udomo zege huu.
mmmh..... maisha sio marahisi hivi πPole sana, tuma namba zako nikupigie tuongee
ninimmmh.....
Cc tamuuuuu kaka jaribu kusikiliza.Asante Swahiba Cha kuongeza kila jumatatu na jumatano usiku awe anasikiliza radio TBC Taifa kuanzia saa nne na robo mpaka saa sita usiku Kuna kipindi kizuri sana. Na wewe uwe unasikiliza anza kesho halafu Alhamis asubuhi nipe mrejesho πππ
Maneno mazuri lakini watu wengi sio waaminifu ,hasa marafiki wanaumiza mno mm huwa nayazika moyoni kimtindo ila muhimu kuwa na subra Kila jaribu huwa mlango wa kutokeaNamshukuru Mungu no matter how hard the situation is, huwa nahakikisha nina mtu wa kumueleza hata kama dunia yangu inataka kugawanyika vipande vidogo vidogo na akanielewa bila kunihukumu, tena wengine tulikutana tu humu humu JF..!!
Ninachotaka kukuambia ni kuwa humu ndani kuna raia wa kila namna ila bado wapo wale watu ambao ni bora kabisa hutojuta kuwafahamu, tafuta kamtu kako kamoja ambako katakuwa nawe, iwe jua iwe mvua..!!
Pole sana sana kwa unayoyapitia, Mungu atakuvusha salama, msihi tu kuwa kamwe asikuache uaibike, haijalishi itakuwa mbaya kiasi gani ila hatokuacha, na kumbuka kamwe Mungu hawezi kukupa jaribu kubwa kuliko ustahimilivu wako, 'DHAHABU huwezi ng'ara mpaka kwanza upite kwenye moto'..!! USIOGOPE..!
πππ Kwahiyo wewe una ignore???
Hebu tulia kwanzaπππHiyo ya kina Madueke?
sijui hata nimewaza nini πnini
Siwezi π sina mazoea ya kusikiliza radioπππ Kwahiyo wewe una ignore???