Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,068
- 43,511
Unaweza pia ukasema Kama hivyo in theory,Mkuu in a nutshell 1GBps ni nini au maana yake ni nini? Je ni download speed ya 1GB per sec au ina maana nyingine?
Kwa Hawa jamaa wa dedicated internet unapimiwa Mbps/Gbps kutokana na mfuko wako ulivyo na capacity Yao.
Hivyo ukinunua internet ya 1GBps Basi utaweza kudownload 1GB kwa sekunde.