Napata wapi hichi kiatu, nimekielewa sana

Napata wapi hichi kiatu, nimekielewa sana

Pundo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
2,390
Reaction score
3,314
Habari wakuu.

Nimeona mahala hii kitu, kwa hapa Dar sehemu ghani napata na kwa bei ghani?


Ahsanteni.
tapatalk_1556524569575.jpeg
 
Hapo ulipokiona kwa nini hujachukulia hapo au ndo hicho umeamua kuweka hapa ili watu waanze kufika bei kumbe ndo biashara zako
 
Hapo ulipokiona kwa nini hujachukulia hapo au ndo hicho umeamua kuweka hapa ili watu waanze kufika bei kumbe ndo biashara zako
Nimekiona uzi wa viatu vya kiume. Hapa ni rahisi kupata chimbo lake.
 
Back
Top Bottom