understanding
Member
- Feb 17, 2013
- 75
- 34
Habari ya kila mmoja wetu kwa siku ya leo?
Naomba great thinkers muweze kunisaidia katika hili, hivi hapa dsm nitapata wapi asali ya nyuki wadogo au asali tu ambayo ni original yaani ambayo haijachakachuliwa???
Naomba mnisaidie mahali pa kupata asali hii na bei zake zinakuwaje? Nahitaji sana asali. Ahsante na nawasilisha