Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,389
Mimi na yule ‘mtoito’ letu moja, sema namvutia kasi tu asinione nina njaa.... huenda ni wakishua nimeshauriwa na Da’vinci niplay smart and lay low.
We jikombe tu hapa anakuonaKwahiyo unataka kusema Christina George amenizidi umri, unaona sasa unavyojaribu kumzeesha mrembo wangu mbichi huyu.... hii si sawa siwezi kukaa kimya nikiona hadhi yake inatikiswa.

inawezekana mana navaa sana shirts long sleeve af nna beards labda ndo sabab nmekaa kizeetatzo huna hela mkuu, hao waliokuzid umri wanakuonea huruma, ndo mana inakua virahisi san kuwapata.. na unakuta ww mwenyew una vocal(verse) za kizee teh teh kwahyo utapata wazee
hivi nynyi vjana huwa hamchomekei sio inabd nianze kuvaa mtepesho twende sawatatzo huna hela mkuu, hao waliokuzid umri wanakuonea huruma, ndo mana inakua virahisi san kuwapata.. na unakuta ww mwenyew una vocal(verse) za kizee teh teh kwahyo utapata wazee


sio uoga shida ni wanakua hawajui kama ndo ipo ivo yan najkuta tu najshtukia nkiwa na rafk zangu
Nna mengi ya kujfunza kutoka kwako mkuuBora ww 2 au 4. Mwenzio ni kuanzia 5 mpka 10



nshazoea yan mkuu wa rika langu wanahtaj ule uboy ambao mm tangu nmejkuta siuwez kuvaa chin ya kiunoHalafu unakuwa na confidence kuwatongoza hao kuliko wa rika lako au wa chini yako.
![]()
Wakuu Mimi na tatizo moja ambalo linanikumbaga katika mahusiano
Mara nyingi kama sio mara zote nmekua najikuta nmeangukia katika mapenzi na watu walionizid umri sio masugar mama hapana ila difference inakuepo 2+ had 4 years na pia nkitafta rika langu inakua shida nfanyeje
Am 24
Sent using Jamii Forums mobile app

Habari Mkuu?Bora ww 2 au 4. Mwenzio ni kuanzia 5 mpka 10
shukrani chiefHilo sio tatizo lakini... Hiyo difference ni ndogo mno.. Isikupe mawazo
Jr![]()
kweli shukranHabari Mkuu?
Nilikuwa napitia comments ili nione kama utamshauri mwenzako aupitie uzi wako uliotoa nondo kuhusu hili. Bahati mbaya nawe muathirika. Pole sana, nasashauri wote mkaupitie uzi huu;
![]()
Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?
Jamaaa umetisha sana kwa maelezo yako kuntu, ila kuhusu hili suala la kuwa addicted wa mambo haya yafuatayo 1.matumizi ya vileo, 2. Kupenda starehe, 3. Master(kujichua) nk nk ni moja kati ya mambo magumu mtu kujinasua..ila yataka moyo kuyashinda! Sent using Jamii Forums mobile app Wee binfsi...www.jamiiforums.com
Bado una umri mdogo ila unataka mambo makubwaWakuu Mimi na tatizo moja ambalo linanikuta katika mahusiano.
Mara nyingi kama sio mara zote nimekuwa najikuta nimeangukia katika mapenzi na watu walionizidi umri. Sio masugar mama hapana ila difference inakuwepo 2 to 4 years na pia nkitafta rika langu inakuwa shida. Nifanyeje?
PS: Nina umri wa miaka 24
Sent using Jamii Forums mobile app