Nahitaji somebody with Stable economyNjoo kwangu nitakulipia bill zote maana najiweza mno.
Njoo kwangu nitakulipia bill zote maana najiweza mno.
Watafutie kazi au wape mtaji wa biashara hao unaowapenda. Hapo ukikwama nao watakuwa wanakutumia mshiko.
Daahh huu ugonjwa tuna umwa wengiBoss wewe ni kama mimi. Sijui nakwama wapiii
Tangu 2009 hujajua tu tatizo lako?Nilianza Rasmi kujihusisha kimapenzi na wanawake mwaka 2009 kipindi namaliza elimu yangu ya sekondali.....
Chaajabu ni kwamba mpaka leo sijawahi kua na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi,,wanawake zangu wote huwa wanakua tegemezi yaani ananitegemea kwa kila kitu..
Huwa nashangaa sana baadhi ya marafiki zangu wanatumiwa pesa na wapenzi wao pindi wakikwama..mimi huwa najiuliza huwa nakosea wapi?
Mbaya zaidi juzi nimeenda mgahawa mmoja hapa mjini kupata chakula kumbe wakati huo waleti haipo mfukoni (niliisaau ofsini) nimemaliza kula chakula ile nazama mfukoni hamna walet na ofsini mbali..Nikampigia sm mwanamke wangu anitumie 5000 tuu nilipe hela ya watu, yeye akanijibu "oooh bby ntatoa wapi hela mimi sina hela"
Ili nisisumbue watu ikabidi nimpigie sm MAMA angu (yupo mkoani) yeye akanitumia pesa mda ule ule,,na nikalipa deni la msosi
Hapo najiuliza kwanini napata wanawake magalasa,,ni warembo tuu lakini hawajiwezi kiuchumi
Nakosea wapi wakuu?
Sijawai pata dem wa uhakika.Daahh huu ugonjwa tuna umwa wengi
Wape mawazo ya biashara na waamzishie biashara.Nilianza Rasmi kujihusisha kimapenzi na wanawake mwaka 2009 kipindi namaliza elimu yangu ya sekondali.....
Chaajabu ni kwamba mpaka leo sijawahi kua na mwanamke ambaye anajiweza kiuchumi,,wanawake zangu wote huwa wanakua tegemezi yaani ananitegemea kwa kila kitu..
Huwa nashangaa sana baadhi ya marafiki zangu wanatumiwa pesa na wapenzi wao pindi wakikwama..mimi huwa najiuliza huwa nakosea wapi?
Mbaya zaidi juzi nimeenda mgahawa mmoja hapa mjini kupata chakula kumbe wakati huo waleti haipo mfukoni (niliisaau ofsini) nimemaliza kula chakula ile nazama mfukoni hamna walet na ofsini mbali..Nikampigia sm mwanamke wangu anitumie 5000 tuu nilipe hela ya watu, yeye akanijibu "oooh bby ntatoa wapi hela mimi sina hela"
Ili nisisumbue watu ikabidi nimpigie sm MAMA angu (yupo mkoani) yeye akanitumia pesa mda ule ule,,na nikalipa deni la msosi
Hapo najiuliza kwanini napata wanawake magalasa,,ni warembo tuu lakini hawajiwezi kiuchumi
Nakosea wapi wakuu?
hahaa wa uhakika kivipi sasa " ? ambaye unaona kuwa huyu ana faa kuishi nae na kuianza safari ya maisha mkiwa pamoja !!!?Kwanza mm ndo nna gundu kabisaSijawai pata dem wa uhakika.
Yani hata akishika mimba nasema OK. Sijawai kupata boss. Nna majanga balaaa. Sijui nakwama wapi. Kila nikipata mwanamke anakuwa kama DEMISShahaa wa uhakika kivipi sasa " ? ambaye unaona kuwa huyu ana faa kuishi nae na kuianza safari ya maisha mkiwa pamoja !!!?
duhh !!! pole sana " but mimi huwa nina amini mpenzi wa kweli (sahihi) hatafutwi kama kitu kilichopotea " bali huja mwenyewe " kwa kuletwa na wakati sahihi ... so kuwa na subiri acha papara Atakuja tuYess bossYani hata akishika mimba nasema OK. Sijawai kupata boss. Nna majanga balaaa. Sijui nakwama wapi. Kila nikipata mwanamke anakuwa kama DEMISS
duhh !!! pole sana " but mimi huwa nina amini mpenzi wa kweli (sahihi) hatafutwi kama kitu kilichopotea " bali huja mwenyewe " kwa kuletwa na wakati sahihi ... so kuwa na subiri acha papara Atakuja tu
kila mtu ana uwanda wake wakufarahia maisha " .. kuna wenye kipato kikubwa lakini hawana watoto .. kuna wenye watoto lakini hawana kipato kikubwa ..Ngoja nitulizane boss nione. Ila napata furaha nikiona mtu na dem wake toka sekondari hadi chuo hadi maishani. I wish ningemuandaa mtu ajekuwa wife wangu