Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,401
ivi najiulizaga kwa nini napata views chache wasap ,awajawahi kuzidi ishirini japo nna contacts zaidi ya 200 awanipendi sijui
asalamu aleku nataka kukuoaSocial media hizi.
Angalie usipata anxiety Na depression
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]asalamu aleku nataka kukuoa
asalamu aleku nataka kukuoa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
nikikuoa nitachota maarifa mengi kutoka kwakoWaalayka salam unafkiri wanawake wanaolewa tu hivo?
Kuwa kwanza kiakili.
Kuna mambo mengine unaona inabidi ucheke tu. Nisamehe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kaka angu Na wewe upo unachekelea,usimzabue kofi moja tu huyu.
Kuna mambo mengine unaona inabidi ucheke tu. Nisamehe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
kutangaza ndoa imekua ubaya?Apology accepted.
Hii ni sababu moja wapo inayokufanya upate views chache kunako watsappasalamu aleku nataka kukuoa