Napata tatizo la "Microsoft.Net" Error niki install Kaspersky kwenye computer naomba msaada

Napata tatizo la "Microsoft.Net" Error niki install Kaspersky kwenye computer naomba msaada

karibukwetusingida

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
290
Reaction score
138
Nina Computer ana ya Dell yenye window xp ilikuwa na kespersky 2013 nikaunstall il niweke kespesky 2014 kila nikijaribu kuinstall inaniletea sms hii " error occured during installation of microsoft.net 4.0" Nifanyeje wadau il niweze kuinstall, msaada
 
Restore computer system kisha install each and everything you need. Cheers!!!
 
Hakikisha una-create back-up kabla ya ku-restore au utapoteza data zote!!
 
Download Kaspersky Remover.

Run hiyo Kaspersky Remover. Fuata maelekezo itakayokupa.

Ikishamaliza hakikisha connection ya internet ipo active then install hiyo version ya Kaspersky unayoihitaji.

Cheers.
 
nina computer dell yenye window xp ilikuwa na kespersky 2013 nikaunstall il niweke kespesky 2014 kila nikijarb kuinstall inaniletea sms hii " error occured during installation of microsoft.net 4.0" Nifanyeje wadau il niweze kuinstall,msaada
# Download na install kwanza .NetFrame work v4 katika PC yako
# Latest version ni 4.5.2 hii ichukue hapa >>| .NET Framework Version 4.5.2 Download for Windows / FileHorse.com
# Baada ya kufanya installation ya DotNetframework, Fanya installation ya KASPERSKY itakubali bila hiyo error uliyokuwa ukipata awali.
Download Kaspersky Remover.

Run hiyo Kaspersky Remover.
Fuata maelekezo itakayokupa.

Ikishamaliza hakikisha connection ya internet ipo active then install hiyo version ya Kaspersky unayoihitaji.

Cheers.
# Haitosaidi
# Inashindikamna kufanya installation sababu
  • 1. Hana internet connection stable ya kumwezesha kudownload DotNet framework version 4 ambayo ni lazima iwepo ili aweze kufanya installation
  • 2. Ufumbuzi ni kufanya download ya Dot Net framework kisha fanya offline installation
 
Back
Top Bottom