Napata Tatizo hili JF Shida nini?

Napata Tatizo hili JF Shida nini?

Gushleviv

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
3,457
Reaction score
5,322
Nikifungua uzi mmoja napelekwa kwenye Uzi mwingine.
Mfano nikifungua/niki click uzi huo wa Forum ya JF Store, unafunguka uzi wa forum nya Ujasiriamali.
Screenshot_20220606-205935.png

Badala yake unafunguka uzi huu hapa Chini

Screenshot_20220606-205947.png


Sababu ni nini?
Cc: Moderator
 
Back
Top Bottom