Swala la Korona kimsingi hakuna kiongozi ambaye linamwingia akilini Ila kuna external force ...!! Wananchi wa kawaida hawapo aware kabisa na korona wanaiskia kwenye magazeti na Runinga, hata watetezi wa chanjo waliopo humu believe me hawavai barakoa wala vitakasa mikono just kwenda tu na upepo unavyotembea ... Angalia usafr wa Uma wakat wa asubh na jioni ndo utajua no body cares , mambo ya chanjo sjui vitakasa mikono , hayo ni nguvu toka nje nothing else