UNA UHAKIKA KAMA HII MSG ILIANZIA KWA SETH de jesuswewe ni Seth De Jesus Giovan? Kama siye why hujamuacknowledge kwa uzi huu ulioucopy ktk wall yake facebook? Halafu umecopy hadi nukta hata kuedit? PRAGIARISM! Teh teh teh!
Bora umewaambia,yani kijana anategemea aseme nikinywa maji nakuona kwenye glass tu mdada alainike,bado hawajachemsha!siku hizi pesa inaongea ohoooo!bwetekeni kutegemea mashairi na ngonjera!
watu mtaani wanagegededwa kama kawa bila kuhongwa wala nini......Bora umewaambia,yani kijana anategemea aseme nikinywa maji nakuona kwenye glass tu mdada alainike,bado hawajachemsha!siku hizi pesa inaongea ohoooo!bwetekeni kutegemea mashairi na ngonjera!
Rural Swagga
Yesterday 16:30
#1 JF Senior Expert Member Array
Join Date : 25th November 2010
Location : Mars
Posts : 308
Rep Power : 476
Likes Received21
Likes Given186
[h=2]Napata Shida[/h] Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampenda Mwanamke kabisa from ur heart,unajipanga unampiga saundi..anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 26 years..utamsikia,''Oh my Ghosh,ur still a kid,mi nadate guys who are 45 years above...Wanajua kupenda,they are so caring,yaani nyie vijana mnasumbua sana''.Sio tunasumbua,anajua kabisa miaka 26 bado ndo unasaka hela,ndo umeanza maisha huna cha kumhonga,ukijitahidi sanaaa utampeleka shopping Karume na hiyo hela itakuuma kishenzi!
Anakuita Kid bila aibu wakati yeye ana miaka 23 tu halafu eti ana mahaba na jitu la miaka 47..Uongo mtupu!Ina maana mtu hawezi kupenda na kucare hadi afike miaka 45??Nyie semeni tu mnawalia timing coz mnajua mtu mwenye miaka 45 anakuwa ameshajipanga,amefanya kazi ana hela,unajifanya unampenda kumbe Parasite tu unataka kumnyonyoa mafao yake ya uzeeni,hamna hata aibu..Mnapenda sana vitu ready made,tengenezeni vya kwenu,ukiona mtu ana miaka 45 jua kuna Mwanamke mwenzio amefanya kazi kumfikisha hapo alipo,we unakuja unadandia tu,,,Kama kweli una mahaba tafuta mwanaume wako,panda nae daladala za Buguruni mrukie wote dirishani,msotee maisha kwa kutembelea TZ 11 hadi siku apate gari mfaidi wote halafu akifika miaka 45 uone kimwanamke cha CHUO kinamsogelea eti she caring uone inavyouma,utatamani umpige patasi ya kisogo...Gold diggers,waone kwanza,msione gesi mtwara mshaanza kuandamana!45years guy waiting for u student of 23 years,ina maana miaka yote hiyo alikuwa Stevie Wonder au??
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Last edited by Rural Swagga; Yesterday at 16:44.mpalu and Tetra like this.
Your Intelligence Is My Common Sense!!!! And Always Remember To Hack Yourself before they Hack You
Reply Reply With Quote
watu mtaani wanagegededwa kama kawa bila kuhongwa wala nini......
LOOK nani kakwambia kuna mapenzi ya kweli naw days?hakunaga tena nyie wanaume ndio hamfai kabisa,NO MONEY NO HO HONEY hahaaaa!sidhani kama upo sahisahi kwa mawazo kama yako mataishia kutiwa na kuachwa na virusi na kushushwa thamani sababu target yenu kubwa ni hela na sio mapenzi hali kadhalika na kwa wa naume itakuwa ni kutia na kuacha na wala msilalamike hatuolewi mara oo waname sio waaminifu kumbe nyie wenyewe target yetu ni hela na mtatendwa sana hasa kwa wenye akili kama zako.
mitaaa yote wapo ni jinsi tu ya kujipangaMPALU muelekeze mwenzio huko mtaani kwenu wanapopatikana wa bure,aje ajipoze machungu aliyonayo
ok najua mtasema sana nini na nini...point ya msingi hela utazitumbua nini..na nini..ila usisahau kwamba kuna ku "keep the change"= HIV/AIDS.... can you pay the price of keeping the change?womaaaan....enh?...ova...
yapo sana uakuwa hata na watu kumi ila kuna mmoja ndo kila hata ukizunguana naye lazima usikilizie maumivuLOOK nani kakwambia kuna mapenzi ya kweli naw days?hakunaga tena nyie wanaume ndio hamfai kabisa,NO MONEY NO HO HONEY hahaaaa!
sidhani kama upo sahisahi kwa mawazo kama yako mataishia kutiwa na kuachwa na virusi na kushushwa thamani sababu target yenu kubwa ni hela na sio mapenzi hali kadhalika na kwa wa naume itakuwa ni kutia na kuacha na wala msilalamike hatuolewi mara oo waname sio waaminifu kumbe nyie wenyewe target yetu ni hela na mtatendwa sana hasa kwa wenye akili kama zako.
Mbona wewe huwa unanijibu maswali yoote..!
umeona eeeee,hapendwi mtu inapendwa ngawira!
Nitalifanyia kazi Mkuu asante kwa kunielewesha,,lolhilo neno umenena ila nataka nikushauri kuhusu hilo jina unalo2mia la Rural Swagga , nakushauri uondoe hiyo Swagga kwani asili la neno Swagga ni SWAG yaani kulikuwa na kikundi kimoja cha wanamuziki wa rock walikuwa wanajiita SWAG yaan SECRET WE ARE GAY angalia bwana mdogo hayo majina mengine hayana upako..Nawakilisha
Itapendeza Ukiwahi kulifanyia KAZI mapema Rural Swagga.Nitalifanyia kazi Mkuu asante kwa kunielewesha,,lol
The Boss,,,Nikuache ufanye yakouna uhakika?
una uhakika?