Napata Shida

pole mdogo wangu Rural Swagga..ngoja nikupe siri kwa nini mabinti hao wenye umri mdogo wanapenda wanaume wenye 45yrs and above. kwanza, wanaume hao wanapapatikia sana damu moto na hivyo wanatoa mishiko mizuri kwa hao mabinti. pili, sio wasumbufu sana ktk 6X6 maana performance yao ilishashuka. wengi wao wakienda round moja kwishinei..so mabinti hawachoshwi sana. tatu, hao wababa wanaonana mara chache na kwa muda mfupi na hao mabinti maana muda mwingi wako na wake zao na familia zao. hii ina maanisha mabinti wanawaogopa vijana wenzao kwa kuwa bado wana nguvu na wana uwezo wa kwenda round hata tano. nne, vijana wa rika lao hawana mikwanja minene kama wababa, nk...Hii kwa sasa ndio fasheni ya mabinti wengi! usivunjike moyo endelea kutafuta utampata mwenye akili na mapenzi ya dhati!
 
Pesa kwanza penzi badae!!!!

nitafute ili iweje?acha tule za wazee wanajua kuhonga,,,,but hapendwi m2 inapendwa pochi
ok najua mtasema sana nini na nini...point ya msingi hela utazitumbua nini..na nini..ila usisahau kwamba kuna ku "keep the change"= HIV/AIDS.... can you pay the price of keeping the change?womaaaan....enh?...ova...
 
kaah, una hasira, c uende kwa form four umlee, ye kwake hata hilo bum la chuo unalopata ye anaona ka funguo ya gari, ya nini kujikarahisha na ushaona changes za digitali
 
Bora umewaambia,yani kijana anategemea aseme nikinywa maji nakuona kwenye glass tu mdada alainike,bado hawajachemsha!siku hizi pesa inaongea ohoooo!bwetekeni kutegemea mashairi na ngonjera!
 
Mayb yes Mayb not,,,Nimewakilisha Vijana woote humu Jamvini,,Haswa hivi vibinti vinavyoojita eti watoto wa mjini<<MTOTO WA MJINI HATA 1st degree HUNA??? KAZI KUCHUNA WATU TUU,,nina hasira sana ujue:A S angry: nimevimba vibaya mnoooo

pasuka kabisa ila pesa ndio habari ya mjini,nawe umezidi kupendapenda acha yakukute!waachie wenye nazo
 
MWALI si bora angepigwa chini,yani huyu kakataliwa kabisaaa, hata busu hajapewa ndio sababu ya machungu aliyonayo
 
How old are you, if I may ask?[/QUOTE

Since I am part of the universe, I am as old as that, but my parts have been organized somewhat consistently into "me" for 26 revolutions around the STAR we call the sun. (kwa lugha nyepesi 26 and broke)
 

wewe ni Seth De Jesus Giovan? Kama siye why hujamuacknowledge kwa uzi huu ulioucopy ktk wall yake facebook? Halafu umecopy hadi nukta hata kuedit? PRAGIARISM! Teh teh teh!
 
wewe ni Seth De Jesus Giovan? Kama siye why hujamuacknowledge kwa uzi huu ulioucopy ktk wall yake facebook? Halafu umecopy hadi nukta hata kuedit? PRAGIARISM! Teh teh teh!

Acha kukurupuka,,Hii ni Brodcast msg kama zilivyo brodcast nyingine,,Hata wewe unaweza copy hapa ukaweka kwako.Inaweza ikawa originator ni mimi au mtanzania mwingine yeyote as long as inawasilisha ujumbe flani kwa jamii mimi naona poa tu.Nimetumiwa msg kwenye simu yangu nimecopy nime paste JF watu watoe maoni yao au kuna ubaya mkuu?Au unadhani watu wote walio comment hapo juu hawaifahamu hii Brodcast???Anyways Ni mtazamo wako Nitauheshimu mkuu,,ila huyo Jesus simfahamu mkuu.
 
pole sana Rural Swagga

wasikusumbue kichwa hao.. hawa wa type hii ndo wale wanakujaga kupost huku ooo sijampata nimpendae, oooo natamani kuolewaaaa na wakati alikuwa anakula hot cake na babus lol, sasa babus ana familia na mambo yake. (msinitupie mawe uwiiiii )

Lakini na wewe mkuuu usipende sana vya bure lol..!
 
Last edited by a moderator:
basi kama hutaki kuhonga utabaki kwa kula kwa macho, maana watoto wa siku hizi mashairi hayapandi hatakidogo
nani kasema watu wanapiga kama kawa bila mshiko wala nini akija kushtuka kashaumia zamani
 
neggirl hapo umenena .......mwisho wa siku oooh mbona siolewi mfuate babu yako uyo akuoe............ila ukitaka kula lazima uliwe kidogo .....source JK
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…