Napata nguvu kushangilia Al Hilal

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
5,305
9,467
Ukiangalia ujumbe wa team ya Al Hilal ambao watatumia uwanja wa BWM kwa ajili ya mechi zake za CAFCL umebeba ujumbe mzito na umejaa weledi mkubwa mno.

Hata lugha iliyotumika kuomba support ya mashabiki ni lugha inayoleta ujasiri na upendo hakika hii mechi si ya kukosa.

Al Hilal vs Esperance siku ya ijumaa nadhani ni saa Moja usiku.

1701281080140.jpg
 
View attachment 2828994
Mgeni atakayetaka watu waende uwanjani mechi zisiwe na kiingilio ndio namna pekee ya kuwapata Wabongo.
 
Mimi siipendi Yanga,ila hapa tulipofika nitafurahi Yanga wakiwafunga Waarabu kwani ni wakati sasa tuondoe hii dominance ya Waarabu kwenye mpira wa Africa. Tayari sasa wenyewe wanajua kuwa wakipambana na Timu za Tanzania inabidi wagangamale kweli kweli siyo kama zamani walikuwa wakipangiwa Timu toka Tanzania wanajua ni uchochoro.
 
Mkuu umesoma mada Vizuri ni Al Hilal sio Al Ahly.
 
Mimi siipendi Yanga,ila hapa tulipofika nitafurahi Yanga wakiwafunga Waarabu kwani ni wakati sasa tuondoe hii dominance ya Waarabu kwenye mpira wa Africa. Tayari sasa wenyewe wanajua kuwa wakipambana na Timu za Tanzania inabidi wagangamale kweli kweli siyo kama zamani walikuwa wakipangiwa Timu toka Tanzania wanajua ni uchochoro.
dominance itabaki pale pale kwa ujinga huu mnaoufanya wa kuleta wasanii ili kujaza uwanja ila mim nakwambia 90'zitasema nani alijiandaa na nani alichukulia poa hii game ....tukutane jumamosi
 
Mimi siipendi Yanga,ila hapa tulipofika nitafurahi Yanga wakiwafunga Waarabu kwani ni wakati sasa tuondoe hii dominance ya Waarabu kwenye mpira wa Africa. Tayari sasa wenyewe wanajua kuwa wakipambana na Timu za Tanzania inabidi wagangamale kweli kweli siyo kama zamani walikuwa wakipangiwa Timu toka Tanzania wanajua ni uchochoro.
Ok ila hapa tunaongelea wasudan mkuu sio TU tumewapa chuo kusoma na uwanja wanatumia wetu twende tukasimame nao bega kwa bega
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom