Napata maumivu ya miguu baada ya kujifungua

Napata maumivu ya miguu baada ya kujifungua

Tara jeff

New Member
Joined
Dec 5, 2019
Posts
4
Reaction score
1
Habari zenu wana jamii, na miezi mitano toka nijifungue nimepata maradhi miezi miwili baada ya kujifungua naumwa sana miguu kwenye magoti, maungio, vifundo vya miguu na mikono huvimba pia na unyayo siwezi kukanyaga chini nshaenda hospital hawajaona tatizo wamenipa ibrufen na miezi sasa natumia hzo dawa na nisipo tumia siwez kwenda hata msalani,msaada wenu please kwa anaefaham ili jambo na tiba.
 
Pole sana..!! Kuvimba miguu mara nyingi husababishwa na Pressure kuwa juu hasa kwa wamama wajawazito na kuongezeka kwa Extra fluid kwenye mwili. Mara nyingi miguu..sura na mikono huacha kuvimba ndani ya week kama mbili au tatu baada ya kujifungua.

Kama tatizo limeendelea kwa muda mrefu bhasi inawezekana kuna shida mahali sijajua status ya pressure yako pia kama BMI yako so ngumu kusema nini chanzo.

Ila ukiweza kupata vidonge vinaitwa FUROSEMIDE vinaweza kukusaidia kupunguza hayo maji na ikipata KETOPROFEN gel ya kupakaa ni bora zaidi kwa ajili ya maumivu itapendeza. Pole sana
 
Pole sana..!! Kuvimba miguu mara nyingi husababishwa na Pressure kuwa juu hasa kwa wamama wajawazito na kuongezeka kwa Extra fluid kwenye mwili. Mara nyingi miguu..sura na mikono huacha kuvimba ndani ya week kama mbili au tatu baada ya kujifungua...
Asanteee sana lakin nlipokuwa mjamzito sikuwahi kupata historia ya presha na navimba kwenye maungio ya mifupa na unyayo tuu,maybe nitumie hyo dawa ya kupaka
 
pole sana kwa yote yakusibuyo, kwa haraka haraka tunaweza hisi kinachokusibu ni pressure ya kupanda pia inawezekana uwejenga mwili mkubwa kuliko awali, na ikumbukwe ukijenga uzito mkubwa tofauti na awali inaweza kukusumbua hasa viungo vya miguu.
Dawa ulopewa hospitali ni ya maumivu tuu na inakusaidia kupunguza maumivu tuu ila hawajatatua tatizo
 
Asanteee sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom