Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 213
Naweza kutumia App ipi inayoweza ku activate daima au nafanyaje ili niepukane na hii khaliUnaweza ukawa umei-activate kwa miezi sita ambayo inakaribia kuisha ndio maana unapata warning ya kukupa taarifa.
Kmspico software ndio kazi yake hiyo.Naweza kutumia App ipi inayoweza ku activate daima au nafanyaje ili niepukane na hii khali
Asante naomba kama una link ninayoweza kupakua hyo kitu mkuuuu....Kmspico software ndio kazi yake hiyo.
Ingia thepiratebay torrent utazikuta.Asante naomba kama una link ninayoweza kupakua hyo kitu mkuuuu....
Asante mkuuu wacha nitembeleeIngia thepiratebay torrent utazikuta.
Ipeleke kwa wataalam usijaribu kufanya mwenyewe, hio window haikupatikana kihalali!Asante naomba kama una link ninayoweza kupakua hyo kitu mkuuuu....
Ni kweli haikupatikana kihalali japokuwa nilitumia mwanzo KMS ku activateIpeleke kwa wataalam usijaribu kufanya mwenyewe, hio window haikupatikana kihalali!
Ume update vitu vingi mpaka ikawafikia wenyewe!
Basi mfuate mtaalam akusaidie maana utaweza poteza data zako, ni two to three hours job!Ni kweli haikupatikana kihalali japokuwa nilitumia mwanzo KMS ku activate
Habarini wadau naombeni msaada wenu wa kitaalamu kama kichwa cha habari kinavyosema napata huo ujumbe kila ninapowasha pc yangu kwamba leseni yangu ya kutumia windows inaisha mda siyo mrefu lakini nikienda kwenye setting nakuta Windows is activated na nilifanikiwa ku activate. naombeni msada wadau jinsi ya kutoa hii error nimeambatanisha na picha. AsanteniView attachment 895379View attachment 895387
Na mimi imenisaidia aiseeedownload hapa: Re-LoaderByR@1n.exe (1.33MB) - SendSpace.com