bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 799
Uongo mbaya wadau wangu,
yawezekana hizi zikawa ni hisia zangu tu,
lakini nimeona bora niseme...lol...
''Jamani najisikiaga raha sana, unapokuwa na mupenzi faragha (mtoto wa kike)
halafu akawa anakudatisha kwa vijisauti vya kujiliza wakati mna du....lol...,
yaani hata kama ni vya uongo, basi wewe nidanganye danganye tu......
Vinginevyo, vya kibubu bubu siviwezi mie...sichelewi kutupa kuleeeeee
mtanisamehe bure''
wahanga wenzangu, najua mpo,
kwa akina dada sijui hisia zao, labda nao wanaweza funguka........
Jioni njema, Mbarikiwe sana!!!!!!