Sina muda mrefu humu jukwaani na bado hata rafiki sina lakina napaona nyumbani. Na kwa maisha ninayoishi kwa sasa jf imekuwa sehemu kubwa ya kampani yangu
Kwa yoyote ambaye angependa kuwa rafiki na mimi namkaribisha
Sina muda mrefu humu jukwaani na bado hata rafiki sina lakina napaona nyumbani. Na kwa maisha ninayoishi kwa sasa jf imekuwa sehemu kubwa ya kampani yangu Kwa yoyote ambaye angependa kuwa rafiki na mimi namkaribisha
Maisha yana pilika nyingi rafiki yangu, inafika kipindi jirani hamwonani wiki. Mtu wa karibu siku hizi amekuwa aliye kwenye simu au mitandao ya kijamii