Wa kufahamiana tu mtu wangu, maana yote huanzia hapo. Si unajua humu kama kuhamia shule ngeni kuepusha upweke inabidi uwe na marafiki
Jf haiwezi kuwa kampani yako kwani jf ni maandishi tu. Kwani hapo unapoishi hamna watu?Sina muda mrefu humu jukwaani na bado hata rafiki sina lakina napaona nyumbani. Na kwa maisha ninayoishi kwa sasa jf imekuwa sehemu kubwa ya kampani yangu Kwa yoyote ambaye angependa kuwa rafiki na mimi namkaribisha
Mmh na cv inatakiwa kumbe? Anyway utaijua tu soon
Jf haiwezi kuwa kampani yako kwani jf ni maandishi tu. Kwani hapo unapoishi hamna watu?