Napangisha Nyumba Manzese Midizini TipTop

Napangisha Nyumba Manzese Midizini TipTop

KRISTIAN P

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
359
Reaction score
69
Chumba,sebule na choo cha nje utakacho tumia peke yako ushei na wapangaji wengine pia una sehemu yako pekee ya kuanika nguo. Eneo Manzese Midizini TipTop,kodi kwa mwezi 130,000. Mawasiliano +255 713 137 654 pia unaweza kunichek watsapp kwa namba hii +255716397048
 
Chumba sebule kinapangishwa Kibaha Kwa Mbonde karibu na Barabara. Kodi 60,000 kwa Mwezi hakuna dalali.. Ni PM kama unahitaji
 
Back
Top Bottom