Plot4Sale Inapangishwa: Nyumba Vyumba Viwili

Sep 25, 2016
76
20
Mahali: Mbezibeach Tangibovu
Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6.
N.B: Malipo ya Mwezi Mmoja kwa dalali ( 250,000 )
Mawasiliano: 0686 648630

Vyumba viwili vya kulala, Sebule, choo ndani cha public, na Jiko ndani.
Ndani ya fensi geti, Umeme luku yake, Maji dawasa masaa 24 Kuchangia bill, Karibu na kituo cha daladala tangibovu(dakika tatu kwa mguu).

20211101_110437.jpg
20211101_110211.jpg
20211101_110327.jpg
20211101_110026.jpg
 
Back
Top Bottom