Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,197
- 45,946
Ni kweli,kupambana nao ni gharama.nilitumia laki 2 kwa vipimo na dawaAwamu ya pili nilikumbana na huu ugonjwa, kiukweli ugonjwa huu unatesa sana mgonjwa, ni gharama hata kama una hela, kwa asie na hela hali yake ni ngumu sana. Nilisumbuka sana kipambania afya kipindi kile japo nilikuwa na chukuwa tahadhari sana ila watu wanaonizunguka wanaenda sehemu kama Kariakoo, bar, makanisani na mbaya zaidi wengi hawachukui tahadhari.
Serikali inatakiwa kuchukuwa hatua kali sana bila kuoneana huruma maana huu ugonjwa ukiingia kwenye familia ni janga kubwa sana. Kwa ambaye alishapata huu ugonjwa au ambaye kwenye familia yake kumeahapatikana mgonjwa ndio atakuwa anajua jinsi huu ugonjwa unavyotumia gharama kubwa kupambana nao.