Naotesha Miti Kusherekea Ushindi wa CHADEMA


Sir R

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
2,176
Likes
3
Points
135

Sir R

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
2,176 3 135
Kwa kuwa mwaka huo watu katika jimbo likozaliwa waikataa CCM kwa kuchagua CHADEMA;

Kwa kuwaunga mkono ntafanya operation otesha miti katika kijiji nilikozaliwa. Shughuli ninategemea kufanya wakati wa likizo ya mwezi decemba 2010. Ntahamasisha vijana kwa wazee kushiriki katika operation hii li kutunza mazingira. Ntawaeelimisha kidato cha NNE waliomaliza masomo yao mwaka huu washiriki kikamilifu kufanikisha shughuli hii.

Wakati huo huo ntatoa elimu ya urai. Ili moto huu wa mabadiliko usipoe

Anakaribisha michango namna bora ya kufanikisha operation hii.
 

Forum statistics

Threads 1,204,489
Members 457,348
Posts 28,160,661