Elections 2010 Naotesha Miti Kusherekea Ushindi wa CHADEMA

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
Kwa kuwa mwaka huo watu katika jimbo likozaliwa waikataa CCM kwa kuchagua CHADEMA;

Kwa kuwaunga mkono ntafanya operation otesha miti katika kijiji nilikozaliwa. Shughuli ninategemea kufanya wakati wa likizo ya mwezi decemba 2010. Ntahamasisha vijana kwa wazee kushiriki katika operation hii li kutunza mazingira. Ntawaeelimisha kidato cha NNE waliomaliza masomo yao mwaka huu washiriki kikamilifu kufanikisha shughuli hii.

Wakati huo huo ntatoa elimu ya urai. Ili moto huu wa mabadiliko usipoe

Anakaribisha michango namna bora ya kufanikisha operation hii.
 
Andika kwa ufasaha ueleweke. Naona umeandika kwa haraka sana sentensi zako zinakatika katika. Hata hivyo ujumbe wako ni mzuri
 
Back
Top Bottom