Kabla ya kutafta tafsiri ya ndoto yako,chunguza kwanza wewe,mawazo yako ya kila siku yanakuwa based on nini?kwa sababu ndoto huwa ni mkusanyiko wa mawazo na matukio ya siku,mfano umeshinda makaburini hiyo siku lazima utaota ndoto za mizimu mizimu tu,kama haya yote hayapo unaweza kuwaona wachungaji kama wewe ni mkristo au ma sheikh kama ni muislam watakusaidia
Hakuna jambo baya kama kuota unaolewa au unafanya mapenzi.Ni jini mahaba huyo,leo unaota unaolewa,kesho utaota unafanya mapenzi.NENDA UKAOMBEWE KWA JINA LA YESU.
Dada una jini mahaba na hiyo si ndoto pekee huwa limeshakupenda huwa linakuja kutimiza haja zake na kukupumbaza kama ndoto ukiwa umeolewa na mtoto.Tayari uko kwenye engagement nalo.Fanya yafuatayo kama wewe ni mkristo usiwe unalala bila kuomba,soma neno la Mungu (Biblia) kanla ya kulala na kanisani mwambie mchungaji wako ili akufanyie maombi ya kulitoa hilo pepo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.