mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,020
- 1,087
Habarini wanajamvi!!
Mara kadhaa nimekuwa naota ndoto nimekufa, ila mbaya zaidi usiku wa kuamkia leo tena nimeota ndoto ya Mwalimu mwenzangu ninaefanya nae kazi amekufa.
Sasa najiuliza hii hali inatokana na nini!!!!!!? Na kwanini niwe naota ndoto hii mbaya!!! Inatokana na nini! Nishaurini nifanye nini ili hii hali isiendelee kutokea???????