Naota napaa mara kwa mara

RoadLofa

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
1,980
Reaction score
4,390
KUOTA NAPAA MARA KWA MARA...

Mambo vipi ?

Nimekuwa na tabia ya kuota NAPAA mara Kwa mara Toka zamani na kucheza michezo ya kupaa sehemu mbalimbali aswa kwenye milima,miti yaani naota nafurahia balaa kupaa kitu ambacho watu wengine wanakuwa hawawezi na sa zingine unakuta tunafanya kitu kama kutembea au kuchuma matunda kwenye miti pale ambapo wenzangu nawapigia ni kupaa tu na unakuta nawashinda .

Na hii kitu naota zaidi ninapolala Kwa kuangalia juu .

Tafsiri ya iyo ndoto sijui ni nini, wataalamu wenye uwezo WA kutafsiri ndoto nisaidieni kunipa tafsiri.
 
ukiota Unapaa tafsiri yake ni kwamba una nguvu sana upande wa kiroho
 
Hiyo ni ishara njema mno.
You are going to make heaven first
Second you have good 🌟 so you can success abundance.
Najibu kwa experience toka kwangu , pili nilijiuliza swali kama lako kipindi niko na hali ngumu , kipindi ambacho mpaka viatu vya shule nilikosa. Mwinjilisti Ruabula akanijibu hivyo.
Sasa nimekuwa na amani na mafanikio
 
Huchezagi aviator kabla ya kulala kweli?
 
Wengi husema dalili kuwa unachukuliwa na wachawi bila kujua
 
Sio siri.

Hizi ndoto za kuota unapaa nimeota sana.

Miaka hii ya karibuni ndoto za kupaa zimenipumzisha
 
Kabla ya kulala hakikisha unafanya maombi ,ndoto huwa na viashilia au maono katika ulimwengu wa roho
 
Usipende kulala chali utakua unaot ndot za ajab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…