Ilo ni pepo mazee na kama ni kila siku ila kama ni mara moja moja ni hali tu ya mwili, kama nakuona unavyoteseka linakuja lina kurestrain ufurukuti linajipiga mishindo utaona kabisa unanyonywa denda linajipump ,unamwaga wazungu ukimwaga tu ndo unarudi conscious
Sometimes adi lenyewe linakojoa utahisi kimiminika kimekuchuruzikia ila ukigusa iyo sehem unakuta pakavu ata sperm zako hazijafika. Na ni washenzi hata kiuchumi unayumba
Ukishtuka unachukia sana iyo hali , sasa mi iyo hali nilikuwa nayo kipindi fulani
Nikawa nakadiria muda wake saa tisa hadi kumi kuelekea kukucha nakuwa silali pono basi akija tu najihis mapigo ya moyo yanaenda mbio gafla tu alafu nahis kama kitu kinanizonga kuanzia puani
Basi mi nakausha tu huku nakemea kimoyo moyo kinasepa , akija anakufreez uwezi ongea wala kujitingisha
Sa siku fulani nikahisi uume umeshikwa yani ulishikwa kabisa nikakurupuka chap nilisonya nikatukana nikasema katafute type yako

nikasali kidgo nikalala
Zikapita miezi likaniotea nashtuka tu nazihis zinachuruzika na nilipambana sana kujinasua
Hadi sasa imepita muda sijaona iyo hali
Ila nahis bado lipo maana mademu huwa wananikwepa kila apointment lazima ivunjike nikisex dushe linauma kinyama,usiku nashtuka sana ko linanilia tyming