Naota mazingira haya mara kwa mara

Naota mazingira haya mara kwa mara

mi huwa naota mambo mazuri mazuri tu na mafanikio . . . .
hebu licha ya maisha ya sasa kubadilika kwa wengi jaribu kujipa matumaini, kujifariji na kuupa furaha moyo wako. . . pia usisahau kumwomba sana Mungu ili hata kama kuna uhusiano wowote wa kiimani na hizo ndoto basi ushindwe kwa jina la Yesu
 
Kama mkristo, ndoto kujirudia rudia ni maono unaonyeshwa jambo, ndoto za kurudi shule especially level ya nyumba ambayo umeshapita (primary,sekondary) mara nyingi inamaana umekwama mahali au sema upo usipotakiwa upo na unakwama kutoka. Za vyoo ndo kabisa majanga yako mengi na unahitaji kuyavuka. Cheki na reality ya maisha yako kama uko sawa sawa pale ulipotaka uwe, either uko way behind na unakwama sana, au, it's coming.
Omba Mungu akuvushe
 
NDUGU usidharau ndoto ,maana kama imani yako iko ndani ya Kristo Yesu tafsri unaipata katika neno lake (BIBLIA) LAKINI hata kama wewe si wa Kristo bado utapata tafsri sahihi kwenye neno lake tu sasa cha kufanya pitia video za Mwalimu Mwakasege na somo la Gwajima
itolee sada,maana NDOTO NI MLANGO AMBAO Mungu YEHOVA utumia kuzungumza na watu wake ingwa watu hawajari wanasema ni ndoto tu,ila gharama yake ya kupuuza ni kubwa sana

AYUBU 33;14-16
 
Nimejitahidi kutafuta mafundisho kutoka kwa waalimu wazuri wa hili somo, kama Gwajima na Mwakasege, nimeweka links hapa chini.

Habari ndugu, nimefuatilia hiyo comment yako ambayo umechangia pamoja na masomo ya Askofu Gwajima pamoja na Mlm Mwakasege nimepata kitu kikubwa sana namshukuru MUNGU kwa ajili yako, tafadhari naweza kupata siku ya 5? alikuwa ameanza kufundisha namna ya kufasihi ndoto katika siku ya 4 na akaongea jambo moja tu, na nadhani siku ya tano kuna vitu vizuri vya kujifunza please hata audio tu kama unaweza kuwa nayo. waweza hata kuni ibox please.
 
Back
Top Bottom