Naosha store leo

mkandumbwe

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
424
371
Nauza kwa bei ya kutupa.

1. Manual generator change over switch.
32 amp 2poles

Sina bei nataka 75,000 tu.

Pick up Mbagala

20170122_205715.jpg
20170122_204531.jpg
20170122_205645.jpg
 
Hii inatumika kubadili umeme ktk nyumba mfano unatumia generator na umeme wa tanesko. Hii switch itakuwezesha kubadilisha kutoka umeme wa tanesko na kutumia generator and the other way.
 
Back
Top Bottom