kifutu malikidwete
Member
- Nov 8, 2017
- 22
- 12
LolFanya mazoezi, acha ujinga!
Huo uzee ni sura au mwili??
Ongezea nyama kwenye uzi wako huo uzee unaonekana kiajeJaman mwenzenu kuna jambo linaniumiza sana ninamiaka 24 lakini naonekana kama na miaka 37 kwenda juu nfanyaje maana sina raha watoto wanankataa shikamoo nying duuu nb.nlikuwa chaputa mzuri tu sjui ni sababu msaada nfanyeje nionekane as my age
Laugh out loud
Relax kijana...kula vzur hasa ,hasa vyakula vya mafuta ,, maana chaputa imekumalizia mafuta mwilin.Jaman mwenzenu kuna jambo linaniumiza sana ninamiaka 24 lakini naonekana kama na miaka 37 kwenda juu nfanyaje maana sina raha watoto wanankataa shikamoo nying duuu nb.nlikuwa chaputa mzuri tu sjui ni sababu msaada nfanyeje nionekane as my age
Hivi wanaume wa Dar, kwanini mnadeka sana....[emoji34] [emoji34] [emoji34]Jaman mwenzenu kuna jambo linaniumiza sana ninamiaka 24 lakini naonekana kama na miaka 37 kwenda juu nfanyaje maana sina raha watoto wanankataa shikamoo nying duuu nb.nlikuwa chaputa mzuri tu sjui ni sababu msaada nfanyeje nionekane as my age
Yaleyaleee ya akina Omari Nyembo.... eti anajiita Ommy Dompoz....[emoji16] [emoji16] [emoji16]Picha kwanza upate ushauri
Una undugu na H.Haraka Haraka?
24 ni sawa na muonekano wako.
Kaulize aliekuleta dunianJaman mwenzenu kuna jambo linaniumiza sana ninamiaka 24 lakini naonekana kama na miaka 37 kwenda juu nfanyaje maana sina raha watoto wanankataa shikamoo nying duuu nb.nlikuwa chaputa mzuri tu sjui ni sababu msaada nfanyeje nionekane as my age