mutisya mutambu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 208
- 82
Naomba msaada namna navoweza control ads zisijitokeze ninapokuwa fb, insta na whatsap, mwanzoni hazikuwepo ila kuanzia Leo naona zimeanza kuongezeka na kuwa kero
Kwa facebook nenda setting >account setting >ads weka ziwe off .Naomba msaada namna navoweza control ads zisijitokeze ninapokuwa fb, insta na whatsap, mwanzoni hazikuwepo ila kuanzia Leo naona zimeanza kuongezeka na kuwa kero
Hii sentens ishakuwa zilipendwa.imeanza kuboa.Ngoja waje
Pole kwa kuborekaHii sentens ishakuwa zilipendwa.imeanza kuboa.
Asante[emoji3]Pole kwa kuboreka