Naondoa stress baada ya kufukuzwa chadema

Naondoa stress baada ya kufukuzwa chadema

BRAND

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
296
Reaction score
260
....!!
 

Attachments

  • 1426954943211.jpg
    1426954943211.jpg
    11.3 KB · Views: 1,422
Ndo maana huyo mwanamama alitoa tamko la kumtetea - kwamba hatambui kufukuzwa kwake!
 
Sijui mnapata wapi mda wa kuchokonoa uji.nga ka huu. Mambo ya uvunguni mnayaleta huku badala ya kutuonesha yanayojiri huko Dodoma baada ya msaliti kutupwa nje??
Huyo mama ka anakitaka kiti chake aangalie. Hakuna aliyejigusa na huyo kirusi akapona. CDM haimuogopi mtu, inaogopa kirusi, tutakiondoa so fast hakitajua kilipo angukiwa
 
Kwa raha zao...
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1426958774.758327.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1426958774.758327.jpg
    10.9 KB · Views: 1,141
Sijui mnapata wapi mda wa kuchokonoa uji.nga ka huu. Mambo ya uvunguni mnayaleta huku badala ya kutuonesha yanayojiri huko Dodoma baada ya msaliti kutupwa nje??
Huyo mama ka anakitaka kiti chake aangalie. Hakuna aliyejigusa na huyo kirusi akapona. CDM haimuogopi mtu, inaogopa kirusi, tutakiondoa so fast hakitajua kilipo angukiwa

Nani ka kwambia uje huku...? Yalete wewe ya dodoma....
 
Back
Top Bottom