Naona yamefika mwisho

point ni moja tu hapo hayo maelezo mengine mbwembwe tu....


get prepared or act as soon as possible

huyo ameshindwa kukwambia straight ila jiongeze



cc Smart911
 
Nawaza tu, hivi siku moja ukimwambia unatamani kuchepuka na jirani yako, atajisikiaje. Aisee huo uwazi wenu hapana
 
Kuna kitu nimeki notice kwa mliofunguka. Kila mtu ana system yake au yao katika relationship ni kweli alichofunguka kimeni bother kiaina ila hadi akafungukaivo nlimwambia awe free kuniambia shida ni nini. Shukran kwa maono
 
Anko mpaka kasema hivyo nafikiri mambo yatakua tayari
 
Ngoja nikushaur kwa herufi kubwa.

DEMU WAKO KESHALIWA BASI KAAMUA KUCHEZA NA AKILI YAKO ,TENA AMETUMIA AKILI YA KUKUTEGA KUONA REACTION YAKO.


ungekua mjanja ,ungemuambia pale pale , *Fanya unachoona nisahihi*
Alafu meseji yapili unamtumia viemoji vya kucheka [emoji16][emoji16]

Then unakaa kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

ungeona ambavyo angeangaika.
 
Mbna umewaza mbali mkuu
Mtarajiwa wako ndo yuko mbali zaid kifikra. Amekuwa muwazi kupitiliza. Kama ni matamanio,kwa nini asikwambie mkatafuta namna ya kuonana ili kuondoa kiu Yake? Tumeambiwa tusitamani vya jirani, na yeye anafanya hivyo hivyo
 
Ila nashindwaga kabisa kuwaelewa mabikra sijui kwa nin .....sasa kilichomfanya akwambie ni nin hasa ? Sijui alihis siku mkikutana ungejua ,Yaan angejilia zake kiroho safi afu angepiga kimya as if nothin happen .
 
Ila nashindwaga kabisa kuwaelewa mabikra sijui kwa nin .....sasa kilichomfanya akwambie ni nin hasa ? Sijui alihis siku mkikutana ungejua ,Yaan angejilia zake kiroho safi afu angepiga kimya as if nothin happen .
Acha tu sijui nimbwage maana imani ishapungua kwake
 
Tatizo alichonieleza kua akimuona uyo mtu anatamani tendo huoni lolote laweza tokea?
Hapo alipo anatakiwa ajitambue, ajitambue kuwa mna future ya kujenga, anatakiwa a control tamaa zake. Mpaka amekueleza hilo dalili ni mbaya, mwanamke hawez toa kitumbua bila hisia, ameshatanguliza hisia zake kwa huyo bwana, na ni swala la muda tu atakuja kukwambia kuwa shetani alimpitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…