GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,754
- 109,383
Leo akiingia Kuchangia ' Kiuchambuzi ' Mchambuzi Oscar Oscar alianza kwa kutoa Kicheko cha ' Kinafiki ' kisha akahoji je, Madeni yameshalipwa? Watangazaji wenzake wote Studioni wakaanza Kuangua Kicheko ambacho kinaonyesha kabisa kuwa ni ' Kijembe ' kwa wale waliowakimbia.
Na wanajua kuandika insha. πππNilikuwa nasubiri nione Kati ya Hawa ndugu watatu vipanga wa JF ni yupi ataiga mwandiko wa mwenzie. Naona mpingavijidudu amemuiga mla mizoga!
Naona vita yao Wasafi FM na E FM ,itakua na faida kwa Clouds FM ,katika Mgawanyo wa wasikilizajiAcha majizo ashikishwe adabu.....kwenye game hana mda mrefu akaanza fitna sasa ngoja avune fitna...na atapotezwa vibaya sana
SureNaona vita yao Wasafi FM na E FM ,itakua na faida kwa Clouds FM ,katika Mgawanyo wa wasikilizaji
Bwa sheneji kumbe unejua mswahili tikautiko kanda ya ziwa haha mambo waachie wenyeweLeo akiingia kuchangia 'kiuchambuzi', mchambuzi Oscar Oscar alianza kwa kutoa kicheko cha 'kinafiki' kisha akahoji, je madeni yameshalipwa? Watangazaji wenzake wote studioni wakaanza kuangua kicheko ambacho kinaonesha kabisa kuwa ni 'kijembe' kwa wale waliowakimbia.
Juzi tena kuna Mtangazaji wa Michezo wa Efm Manuel Maziku nae alipoingia katika Kipindi cha Usiku cha Michezo Kiitwacho E Sports nae alipiga ' Kijembe ' cha ' Kiaina ' kwa kututaka Sisi Wasikilizaji wake tusihamishe Idhaa na kuwasikiliza ' Matapeli ' kisha ' akazuga ' na kuendelea na Kipindi.
Kama CEO's wao akina Majizzo na Diamond hawatakaa chini ili kuweza ' Kuzima ' hizi Chuki na haya Mafumbo yaliyojaa ' Vijembe ' ambavyo sasa wanaanza Kutoleana naliona tatizo Kubwa linakuja baina ya hivi Vyombo viwili vya Habari vya Efm na Wasafi fm.
Visasi Kazini sasa!
Bwa sheneji kumbe unejua mambo kiswahili toka kanda ya ziwa haha mambo waachie wenyewe