pole mkongwe mwenzanguWazima jamani, mie mwanachama wa zamani humu naona mazingira yananizingua vibaya, forum imekuwa ya kisasa sielewi nazunguka muda mrefu duuh!
Karibu sana kwa upya.Wazima jamani, mie mwanachama wa zamani humu naona mazingira yananizingua vibaya, forum imekuwa ya kisasa sielewi nazunguka muda mrefu duuh!
hahahahahahahahahahahamamaaaa nafwaaaaa, haya mtanijuza polepole ngoja nifanye ziara na mkongojo wangu