Naona nazeeka nkiwa kijana

Naona nazeeka nkiwa kijana

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
3,097
Reaction score
3,654
Habari za mda huu wakuu wana MMU natumai mu wazima na mnaendelea vyema kuijenga Tz ya viwanda.
Tikiwa tunaendelea kufarijiana na msiba wa dada yetu kipenzi J. Magufuli naomba nowape kisa changu, kabla ya yote naomba ku declare interest kuwa mm ni kijana wa kiume mid 20s na stori yangu inatokana na kupungua kwangu kwa uactiveness wa mambo ya mahusiano
Miaka kadhaa ilopita wakati nasoma o level na a level + mwaka wa kwanza chuo nilikua active sana kwenye mitongozo sikuwahi kuchezea fursa hata siku moja, nilikua najikubali sana linapokuja suala la kutongoza hata demu awe mkali kiaje na kama ilivyo ada ya utongozaji sheria namba 17 kifungu cha 3b "kwenye kutongoza kuna kupata na kukosa so never be disappointed ukimkosa demu ni sehem ya mchezo" Mwisho wa kunukuu. Kutokana na hivyo niliwapata wengi na kuwakosa wachache hata kama sina mia mfukoni.
Sanjali na hayo pia nilikua mtaalam wa kubambia niwapo disco na pindi niendapo bar nilijua kuwaopoa wahudumu vizuri tu kwakweli nilikua kijana machachari sana.
Pia katika uvaaji sikua nyuma nilijua kuvaa vizuri japo sikuwahi kuvaa nguo za gharama kubwa kutokana na hali ya uchumi. Hivyo nilijipenda kadri hali ilivyruhusu.
Sasa tatizo langu lilianza nilipoingia mwaka wa tatu chuoni: Nilikua mzito kumsimamisha demu achilia mbali kutongoza hata ikitokea nimekaa na demu ilikua ngumu ku initiate conversation. Nilipojitahidi kumsimamisha demu na kumwongelesha sikufika mbali make nikijibiwa fyongo mara moja naamsha namuacha demu huku nikitukana moyoni. Hali hii imeenda sanjari na kwa mabar maid ambao nao sina tena maujanja ya kuwatokea hta niwe na milioni mfukoni. Hali hii imenifanya niishi miez mingi bila kugegeda japo sina kadi ya chaputa. Mwanzoni sikuona tatizo maana nilidhani sijapata soulmate wangu na mda ukifika ntampata nilienda mbali zaidi kwa kujipa moyo kuwa madem wa chuo wa kazi gani (nahisi hii ilikua defensive mechanism)
Tatizo hili limeendelea mpaka nimegraduate chuo na mda huu nko mtaani ila naona hali ni ile ile. Toka nije kitaa nimekua domo zege wa hatari naogopa kuwatokea madem na nikiwatokea hatufikii muafaka yani ni full frustration.
Mwisho kabisa najua humu kuna wataalam wa saikolojia pamoja na wadau mbalimbali wenye experience na haya mambo, naombeni mnishauri je hii hali imetokana na nini maana mi sielewi na nifanyeje ili kuondokana na hii hali make inanitesa sana naona kama nazeeka bado kjjana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii sheria utupe kopy yake
 
Mwenye akili mbovu za kusoma na kushindwa kuelewa mada au?
Au mwenye umbo kama lako?
Mwenye nyumba, mke, watoto n.k kama vyako au?
Try to be specific bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye Sifa zote za Kuitwa mwanaume ndiyo mimi na ni jasiri kiasi kwamba naweza kukutongoza hata wewe. (wanawake wanakupa shida unajiita Mwanaume?)
 
poor you
kama hiyo ndo definition ya uanaume basi hata mkeo ni mwanaume make alikutongoza na ana ujasiri mpaka amefikia hatua ya kukutandika vibao na bado hufurukuti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom