Naona kuna mtu hapa katumbukiza ‘coin’ za laki tatu kwenye kimashine cha mchina na kaliwa zote, haya ni matumizi sahihi ya ubongo?

ngoja mchina aendelee kuwatengeneza
Wachina wanafurahia sana kasi ya ubugiaji, mnawapa pesa wanawapa uhanisi halafu mahanisi mkishajazana watakuja kuwauzia dawa za kichina mpaka unywe ndo isimame kwa tabu. Biashara nzuri.
 
Jamaa zangu wajeda ndio wahanga wakubwa wa hizi mashine za kitapeli.
Serikali iko kimya.
Pato la taifa karibu 5% linakwenda China kupitia haya madudu.
Haya madudu yanapuna sana. Kila kona yamewekwa
Una chuki nao binafsi nn
 
He hee a i swear iam not going to play this Bonanza again...kesho atarudi Tena ujinga mzigo
 
Huu ndio huwaga mwisho wa habari.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…