johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,521
Fikiria kama huyo Luhaga Mpina akiondolewa kugombea Urais Uchaguzi huu, katika kubalance mambo mbalimbali na utamaduni wetu vitaonekanaje?
Nahisi hawa hawa ACT wazalendo kuna kamchezo wanafanya kuiumiza CCM
Haiwezekani wao kama chama walikubaliana na kumpokea Mpina na kumpa uanachama na baadaye kumteua awe mgombea wao nafasi ya Urais
Alafu sasa anajitokeza tena mwanachama mwenzao anapinga Mpina kuwa Mgombea Urais ni kwamba yeye hakuhudhuria vikao hapo mwanzo au ndo michezo inaendelea
"Na Luhaga Mpina akishindwa kwenye mission yake hii atarudi CCM kama alivyofanya Hayati Bernard Membe. Hata Hayati Edward Lowassa alitikisa nchi, tunakubaliana?
"Alirudi CCM au Hakurudi? Kwanini tuendelee kutumika? Kwanini tujenge taasisi kwa uchungu, muda halafu tuache tu watu wake wafanye ndio majukwaa yao ya kutolea hasira zao. Tusikubali kutumika.
" Na Chama ili kipate credit kwa Watanzania ni lazima Luhaga Mpina aondolewe kwenye nafasi hiyo kugombea Urais"- Monalisa Joseph Ndala - Katibu Muenezi ACT- WAZALENDO mkoa wa Dar - es Sala
Chanzo: CLOUDS TV