weka bei ya gari na kiwanja acha kulialia mwanaume,kimoja lazima kitakutoa japo si kwa bei uliyonunuliaPole mkuu pole sana
Mpeleke kwao akajifungulie kwaoWakuu poleni na majukumu.Nina uumri wa miaka 34,mke na mtoto mmoja.nimepambana kweli kweli miaka 4 nyuma.nimejenga kijijini kwetu nimenunua kiwanja pembeni kidogo ya mjini,nimemsomesha make wangu kamaliza mwaka Jana.miaka 2 nyuma niliona mambo sio mabaya nikavuta kausafiri cha kunisaidia hapa na pale. MATATIZO YANAANZA.Mwaka Jana nilibadilisha kituo kipya (sekta binafsi) kwa ahadi ya mshahara mkubwa.Dah mambo yakawa sio mambo.mshaha ukawa hutoki mpaka miezi 3 hafu tunapewa nusunusu.kumbuka hapo wife ameshakuwa mjamzito mimba inmsumbua kweli,mtoto anasoma na nadaiwa Kodi ya nyumba.Ilinilazimu kuacha kazi baada ya kuvutana sana bosi.sikulipwa mishahara miezi mitatu.katikati ya mwezi wa 5 nikapata kazi sehemu nyngne japo kwa mshahara mdogo.nikalipwa mshahara nusu kwa vile nilianza katikati.MAAJABU MENGINE HUKU.Leo in trh 4 July hatujalipwa mshara wa June. Ninapoandka Uzi huu nimekaa jirani na nyumbani nafikiria ntaingiaje nyumbani,kwa make wangu anaweza kujifungua muda wowote kwanzia sasa na ana complications,Jana ni kama vile tulilala njaa,leo mama na mtoto sijui wamekula nini,shule zimefunguliwa sina ada ya mtoto,mwenye nyumbani anadai Kodi tena atakuwa ananisubiri nyumbani.nimejaribu kuuza gari na kiwanja lakini hakuna wateja.Nina mawazo sana ndugu zangu.ninachoogopa zaidi ni huyu mama mjamzito.ushauri wenu na sala zenu
kuwa na Imani mkuu ,haya ni majaribu,jaribu ni mtaji na yanamlango wa kutokeaWakuu poleni na majukumu.Nina uumri wa miaka 34,mke na mtoto mmoja.nimepambana kweli kweli miaka 4 nyuma.nimejenga kijijini kwetu nimenunua kiwanja pembeni kidogo ya mjini,nimemsomesha make wangu kamaliza mwaka Jana.miaka 2 nyuma niliona mambo sio mabaya nikavuta kausafiri cha kunisaidia hapa na pale. MATATIZO YANAANZA.Mwaka Jana nilibadilisha kituo kipya (sekta binafsi) kwa ahadi ya mshahara mkubwa.Dah mambo yakawa sio mambo.mshaha ukawa hutoki mpaka miezi 3 hafu tunapewa nusunusu.kumbuka hapo wife ameshakuwa mjamzito mimba inmsumbua kweli,mtoto anasoma na nadaiwa Kodi ya nyumba.Ilinilazimu kuacha kazi baada ya kuvutana sana bosi.sikulipwa mishahara miezi mitatu.katikati ya mwezi wa 5 nikapata kazi sehemu nyngne japo kwa mshahara mdogo.nikalipwa mshahara nusu kwa vile nilianza katikati.MAAJABU MENGINE HUKU.Leo in trh 4 July hatujalipwa mshara wa June. Ninapoandka Uzi huu nimekaa jirani na nyumbani nafikiria ntaingiaje nyumbani,kwa make wangu anaweza kujifungua muda wowote kwanzia sasa na ana complications,Jana ni kama vile tulilala njaa,leo mama na mtoto sijui wamekula nini,shule zimefunguliwa sina ada ya mtoto,mwenye nyumbani anadai Kodi tena atakuwa ananisubiri nyumbani.nimejaribu kuuza gari na kiwanja lakini hakuna wateja.Nina mawazo sana ndugu zangu.ninachoogopa zaidi ni huyu mama mjamzito.ushauri wenu na sala zenu
Mpeleke kwao akajifungulie kwao
Huko kwao hospitali hazipo? Wapelekee wenye mtoto wao waliomzaa asije kufia mikononi mwako Na ulofa wako. Asikufie mikononi warudishie waliomzaa na ueleze wazi kuwa ana complications na wewe sio mkunga wala doctor na pesa hunamkuu kasema anacomplication ,anazaliaje nyumbani tena
AmeenMtegemee mungu...hufungua njia pasipo na njia...inua macho yako mtazame yeye.
Asante ndugu yanguMtegemee mungu...hufungua njia pasipo na njia...inua macho yako mtazame yeye.
hizi ndiyo busara zako mkuu ,naamini kila mtu atakushangaaHuko kwao hospitali hazipo? Wapelekee wenye mtoto wao waliomzaa asije kufia mikononi mwako Na ulofa wako. Asikufie mikononi warudishie waliomzaa na ueleze wazi kuwa ana complications na wewe sio mkunga wala doctor na pesa huna
Daaah! Mkuu unanidhihaki tena.sawaHuko kwao hospitali hazipo? Wapelekee wenye mtoto wao waliomzaa asije kufia mikononi mwako Na ulofa wako. Asikufie mikononi warudishie waliomzaa na ueleze wazi kuwa ana complications na wewe sio mkunga wala doctor na pesa huna