Naona K-Vant akimfyekelea Mbali Konyagi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,316
Reaction score
23,187
Hakika kuna kupanda na kushuka.

Sikuwahi kuwaza kama leo K-Vant atamkimbiza Konyagi kiasi hiki.

Mmiliki wa K-Vant alikuwa QAM wa Tanzania Distilleries ltd (konyagi). Baada ya jamaa kufanya kazi na konyagi kwa muda mrefu mwishoe akaamua akajichimbiewe mwenyewe huko Arusha na kupiga kazi chini.

Alikuja na kinywaji chake maarufu cha Kiroba, hapa ndipo kampuni yake ilikuwa kwa kasi sana. K-vant kipindi hicho haikuwa ikifanya vzr.....

Ilionekana kama kaiga kila kitu kwa Konyagi .
Walipopiga marufuku Viroba vya nylon Jamaa aliyumba sana na hata kusimamisha uzalishaji.....

Mambo si mambo, karudi kivingine, Package mpya, ladha mpya na label mpya......

Sasa Kila Bar ni K-vant, sioni Bapa mezani kabisaa...

Sijui Nyagi inakwama wapi....

TBL okoeni TDL haraka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo chupa yao " .ya K.vant ...ni kama balaa la chupa ya maji ya Hill water ... kampuni enyeji za maji zijipange

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Marketing manager....

Hata hivyo, kampuni iliyonunua TBL itakuwa haisapoti distillery

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jaribu kuonja hata kidogo labda unaweza kuwa na mtazamo wa tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…