TzPride JF-Expert Member Joined Nov 2, 2006 Posts 2,616 Reaction score 1,172 Jun 9, 2011 #1 Wakubwa nadhani ni sawa kabisa, maana huyu jamaa wa sasa alishindwa hata kuvaa, ikabidi alazimishe ajitwishe! Attachments Tz 1 to 4.jpg 45.9 KB · Views: 269
Wakubwa nadhani ni sawa kabisa, maana huyu jamaa wa sasa alishindwa hata kuvaa, ikabidi alazimishe ajitwishe!
A allydou JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 1,603 Reaction score 1,065 Jun 9, 2011 #2 Mkapa aliimudu nchi kuliko mwinyi, nashindwa kumelewa aliyechora katuni hii, thoygh kila mtu ana namna yako ya kuona jambo.
Mkapa aliimudu nchi kuliko mwinyi, nashindwa kumelewa aliyechora katuni hii, thoygh kila mtu ana namna yako ya kuona jambo.
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,321 Reaction score 319 Jun 10, 2011 #3 Kazidiwa kwa kupenda mwenyewe sababu Mkapa aliweka msingi mzuri yeye alitakiwa kufanya vizuri zaidi lakini looo! hata wakuu wa mikoa na wilaya kashindwa kuchagua, jamani aibu sana
Kazidiwa kwa kupenda mwenyewe sababu Mkapa aliweka msingi mzuri yeye alitakiwa kufanya vizuri zaidi lakini looo! hata wakuu wa mikoa na wilaya kashindwa kuchagua, jamani aibu sana