Nadhani zawadi ni kutoka moyoni au niseme kupeana ni kikoa toa na wewe upewe,kama wewe pia unanunua zawadi unampelekea yeye pia anaweza kukununulia kwa wale waelewa,nikupe kisa kidogo nilisafiri na Shongu week2 zilizopitaStaff Mate Wangu Ambae Ni Ke Leo Kamnunulia Mume Wake Shati Jipya La Elfu Kumi.Nimeumia Na Kuona Wivu Kwani Mimi Tangu Nianze Mapenzi Sijawahi Kununuliwa Hata Bublish.Haimaanishi Kwamba Napenda Zawadi Ama Vya Bure.Mwanamke Anapokupa Kitu Ni Dalili Ya Kukuthamini.Wenzetu Ke Wengi Wanapenda Wapokee Tu Na Hawana Moyo Wa Kutoa.Huyu Madam Ni Binti Wa Kiislam Na Amenitamanisha Niwe Muislam.Wanajua Kupenda Sana Na Wanavaa Kiheshima.Na Adabu Hiyo Inawafanya Wapende Kweli.Dah Naona Donge Mana Ni Wanawake Wachache Sana Wa Kiivo
Nadhani zawadi ni kutoka moyoni au niseme kupeana ni kikoa toa na wewe upewe,kama wewe pia unanunua zawadi unampelekea yeye pia anaweza kukununulia kwa wale waelewa,nikupe kisa kidogo nilisafiri na Shongu week2 zilizopita
wakati tuko madukani tuna nunua zawadi yeye alinunulia nguoa watoto wake na mdogo wake,nikamuliza humnunulii MR zawadi alinambia naende zake ana nguo ma begi ma 3, bahati nzuri mume akamtumia sms kua anataka shati zuri alimjibu sina hela nitumie,nilishangaa lakini nikasema ndio maisha ya watu wengine wanavyoishi... kuhusu wewe Mkuu jaribu kuanza kumpa anza na perfume..
Kwani kakwambia yeye ni mwanaume?