Naona dogo Spencer Lameck kanywea sasa

Naona dogo Spencer Lameck kanywea sasa

watu wa kaskazini wameongeza bei za bidhaa ili kuikomoa serikali ya awamu ya tano... watakuja kunyooshwa tu , tingatinga likigeukia upande huo..
Hii nchi ina mazombi wengi!? Hivi wewe hujui kuwa 90% ya bucha za Dar ni za wagogo!? You are such a dead brain rat
 
Nakumbuka kipindi kile wakati yuko chini ya utawala wa babu alikuwa anaripoti kikuda balaa.

Alishawahi kuniachisha dinner yangu ya 45000 kwa matei lounge Dodoma.

Akiripoti habari ya babu wakati yuko mara ile jamaa walikuwa wanapiga deki lami nilimchukia huyu mtoto to the maximum.

Ila sasa kashakubali naona leo karipoti kiupoleee kabisa habari ya wasomi wakimpongeza Magufuli yan mbwembwe zote zimeisha.

Unacheza na watu wewe na ole wako tukuone kwenye ziara zozote za Magufuli au ujilengeshe ikulu utakoma.

Heko kwa Emmanuel buhohela some thing good on progress to u.

Teh Teh labda sio matei lounge ya dodoma.
 
Dogo Spencer yuko vizuri. Ni ripota mzuri sana. Mengine yote ni majungu na fitna. Dogo piga kazi!

ITV ni private employer anayejali kipaji na si upendeleo, kama si ITV pengine Spencer Lameck angekuwa derva bodaboda huku wasio na uwezo wakiwa TBC
 
Nakumbuka kipindi kile wakati yuko chini ya utawala wa babu alikuwa anaripoti kikuda balaa.

Alishawahi kuniachisha dinner yangu ya 45000 kwa matei lounge Dodoma.

Akiripoti habari ya babu wakati yuko mara ile jamaa walikuwa wanapiga deki lami nilimchukia huyu mtoto to the maximum.

Ila sasa kashakubali naona leo karipoti kiupoleee kabisa habari ya wasomi wakimpongeza Magufuli yan mbwembwe zote zimeisha.

Unacheza na watu wewe na ole wako tukuone kwenye ziara zozote za Magufuli au ujilengeshe ikulu utakoma.

Heko kwa Emmanuel buhohela some thing good on progress to u.

acha fitina zako za kijinga....ukiacha wazee kama Msungu na akina mngazija, mareporter bomba vijana ITV ni spencer lameck, buhohera na sam mahela.
wewe ndiye uko biased..ukikua utaacha
 
Spencer na boss wake yule mmiliki wa ITV an Nipashe wana wakatu mgumu sana wa miaka hii 10

Kwa hiyo Diallo atakuwa na wakati mzuri sana kwa miaka hii 10 kwa fadhila atakazolipwa kwa maelekezo ya JK kwa JPM!?
 
Buhohela Muda Wowote Anakuwa Mwandishi Wa IKULU Na Nadhani Ameshaanza Hata Kuwaaga Wenzake Hapo MIPUA MEDIA. Amevumilia Mengi Sana Hivyo Mwacheni Sasa Nae Akale Zake Bata Magogoni Na Amwache MNAFIKI ALIYETUKUKA Spencer Lameck Aendelee Kusaka Nyoka Na Mashati Yake Ya Vitenge Asiyoyabadilisha Na Kuyavaa 24/7.

Kwa hiyo unashabikia mfumo wa kulipana fadhila. Usisahau ulivyomponda Pasco kwenye thread ya salva rweyemamu kuondoka ikulu.
 
Sio siri wewe unatakiwa ukapime akili yako na homoni zako pia. Huwezi kuwa Mwanaume rijali ukaongea huu upuuzi. Mbona wana UKAWA hawamchukii Buhohela au kuwachukia watangazaji wa Star tv!?
Ni bora baba yako angekuuza na kununua boga au tikiti maji kuliko kuwa na mtoto mpuuzi kama wewe.

Wanaukawa gani unaowazungumzia?

au ni hawa hawa wenye majungu,matusi, kejeli na fitina.
 
Back
Top Bottom