Naona dogo Spencer Lameck kanywea sasa

Naona dogo Spencer Lameck kanywea sasa

Spencer na boss wake yule mmiliki wa ITV an Nipashe wana wakatu mgumu sana wa miaka hii 10
 
Kila repota aliyekua na mgombea rais alipamba upande wake that's natural!!! Swali ni kwa Buholela na yy amekua personal repota wa Magufuli??? Kila safar ya kushtukiza yupo??? Breaking news ya ITV na redio one Muhimbili karipot yy na alisema rais ndo amefika muda huo na yy yupo hapo...haiwez kua ni coincdence na ile ya wizara ya fedha cjui hata buholela na yale makamera walifikaje when ikulu na fedha ni dk 5 tu!!! Suala la Spencer alifanya kazi nzuri kweny kampen na Buholela pia ila imma ndo anaelekea kupewa na kibarua huko ikulu!! Na mtu anaefanya kitu ili aonekane kuwa amefanya ni wa kumuangalia sana
 
Nakumbuka kipindi kile wakati yuko chini ya utawala wa babu alikuwa anaripoti kikuda balaaa
Alishawahi kuniachisha dinner yangu ya 45000 kwa matei lounge dodoma
Akiripoti habari ya babu wakati yuko mara ile jamaa walikuwa wanapiga deki lami nilimchukia huyu mtoto to the maximum
Ila sasa kashakubali naona leo karipoti kiupoleee kabisa habari ya wasomi wakimpongeza magufuli yan mbwembwe zote zimeisha dadadeq
Unacheza na watu ww na ole wako tukuone kwenye ziara zozote za magufu au ujilengeshe ikulu utakoma
Heko kwa emanuel buhohela some thing good on progress to u.

Promo yako ya kishamba sana tunakuchora tu na ufala wako, eti dina ya 45000 hapa wakati ya 450 andazi moja na chai ya rangi
 
najua huo ndo mwisho wako wa kufikiria so sikulaum hata kidogo ila jitahidi kufikiria ata ujitambue kidogo itakusaidia pia tambua yule yuko kazin na ni lazma aungane na respondants ili aweze kupata taarifa anazo ziitaj.......psychology hiyo mjomba umeishia chin ya mwembe nn
 
Huyu hana k8sa na wenzie wote wa itv kwani walielekezwa na mwenye mali wamtetetee mamvi

ccm hawana shukrani ITV imewabeba hata Buhohela mshahara ni wa ITV The media tycoon fanyani visa vyote mutakaa star tv will never take ITV position magufuli atoe kila kazi kwa star TV haitaangaliwa kama ITV
 
me naona unataka tujue ulikula dinner ya 45000 which is a lie

Exactly that is the point....
mada ya kipuuzi kabisa hii, mimi namshangaa hivi anaposema Lameck akikanyaga ikulu au akiripoti tena matukio ya rais atakiona, yeye kama nani hasa nchi hii??!!
Watu wengine ni hasara tupu
 
Na Mr.Beer ndio anafanya maigizo ya kuitisha vikao vya makatb wakulu kwa bajeti ya elfu 20.Mamamae zenu,mtakuta mmebaki kupe tu kunyonyana ng'ombe washasepa.
 
sorry lakini. wewe ni muhaya?

Hahahahahaha hebuntuombe radhi.......ila jamaa ni mjinga.....maana hata mpirani kuna baadhi ya miaka wanakuwa watu kwenye viwango then wanapotea.....so kula mtu ana mudanwake wa kufanya maajabu.
 
JF raha sana hasa mtu mzima na akili zake anavyoamua kujilipua hadharani.
 
Nakumbuka kipindi kile wakati yuko chini ya utawala wa babu alikuwa anaripoti kikuda balaaa
Alishawahi kuniachisha dinner yangu ya 45000 kwa matei lounge dodoma
Akiripoti habari ya babu wakati yuko mara ile jamaa walikuwa wanapiga deki lami nilimchukia huyu mtoto to the maximum
Ila sasa kashakubali naona leo karipoti kiupoleee kabisa habari ya wasomi wakimpongeza magufuli yan mbwembwe zote zimeisha dadadeq
Unacheza na watu ww na ole wako tukuone kwenye ziara zozote za magufu au ujilengeshe ikulu utakoma
Heko kwa emanuel buhohela some thing good on progress to u.

Usikurupuke tu we jamaa kuanzisha mada.
 
Attachments

  • 1447198758326.jpg
    1447198758326.jpg
    8.4 KB · Views: 66
Back
Top Bottom