Naona dogo Spencer Lameck kanywea sasa

Naona dogo Spencer Lameck kanywea sasa

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
793
Nakumbuka kipindi kile wakati yuko chini ya utawala wa babu alikuwa anaripoti kikuda balaa.

Alishawahi kuniachisha dinner yangu ya 45000 kwa matei lounge Dodoma.

Akiripoti habari ya babu wakati yuko mara ile jamaa walikuwa wanapiga deki lami nilimchukia huyu mtoto to the maximum.

Ila sasa kashakubali naona leo karipoti kiupoleee kabisa habari ya wasomi wakimpongeza Magufuli yan mbwembwe zote zimeisha.

Unacheza na watu wewe na ole wako tukuone kwenye ziara zozote za Magufuli au ujilengeshe ikulu utakoma.

Heko kwa Emmanuel buhohela some thing good on progress to u.
 
kwani ukitangaza mpira wa yanga nawe ni mnazi wa simba utaacha kusema goooooooooooooool yanga team duh..inatisha..
Yanga bombaaaa.
 
Nakumbuka kipindi kile wakati yuko chini ya utawala wa babu alikuwa anaripoti kikuda balaaa
Alishawahi kuniachisha dinner yangu ya 45000 kwa matei lounge dodoma
Akiripoti habari ya babu wakati yuko mara ile jamaa walikuwa wanapiga deki lami nilimchukia huyu mtoto to the maximum
Ila sasa kashakubali naona leo karipoti kiupoleee kabisa habari ya wasomi wakimpongeza magufuli yan mbwembwe zote zimeisha dadadeq
Unacheza na watu ww na ole wako tukuone kwenye ziara zozote za magufu au ujilengeshe ikulu utakoma
Heko kwa emanuel buhohela some thing good on progress to u.
Nina mashaka makubwa na ufahamu wako. Na, nina mashaka pia pengine kwa sababu ya ufahamu wako kuwa mdogo ndiyo maana hujui kuwa ufahamu wako ni mdogo. Pole ndugu.
 
Dogo Spencer yuko vizuri. Ni ripota mzuri sana. Mengine yote ni majungu na fitna. Dogo piga kazi!
 
JAMANI, MLETA MADA NI MTU WA DODOMA! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwan magufuli ana cheo gani? Ni nani mpaka lameck ashobokee habari zake?
 
lwesye maana yake ni juha....wizi wako wa mali za umma na ujambazi kwa raia umefika mwisho... tutawachapa na kuwaseka ndani mpaka mtapike mbegge!
tunaanza na magufuli yumba zetu hisa zetu za TBL na NMB
 
Nakumbuka kipindi kile wakati yuko chini ya utawala wa babu alikuwa anaripoti kikuda balaaa
Alishawahi kuniachisha dinner yangu ya 45000 kwa matei lounge dodoma
Akiripoti habari ya babu wakati yuko mara ile jamaa walikuwa wanapiga deki lami nilimchukia huyu mtoto to the maximum
Ila sasa kashakubali naona leo karipoti kiupoleee kabisa habari ya wasomi wakimpongeza magufuli yan mbwembwe zote zimeisha dadadeq
Unacheza na watu ww na ole wako tukuone kwenye ziara zozote za magufu au ujilengeshe ikulu utakoma
Heko kwa emanuel buhohela some thing good on progress to u.
Una miaka mi ngapi dogo kwani?
 
mkuu inaonekana unahasira sana.kwani nn hasa jamaa kakukosea .kwani ww si una chama kwani yeye kuwa mfuasi wa chadema ni nongwa?? naona unarusha maneno mpaka povu lunakutoka na matusi mengi kwani vipi kuna sehem jamaa alikuzidi kete nini??

kama ni kuuza jamaa kauza sana tuu

Potelea mbali na ww ni walewale tu
 
Ila sasa kashakubali naona leo karipoti kiupoleee kabisa habari ya wasomi wakimpongeza magufuli yan mbwembwe zote zimeisha dadadeq
.

hahahaha mkuu wameisoma number dawa imeshamuingia ... hahaha
 
Nakumbuka kipindi kile wakati yuko chini ya utawala wa babu alikuwa anaripoti kikuda balaaa
Alishawahi kuniachisha dinner yangu ya 45000 kwa matei lounge dodoma
Akiripoti habari ya babu wakati yuko mara ile jamaa walikuwa wanapiga deki lami nilimchukia huyu mtoto to the maximum
Ila sasa kashakubali naona leo karipoti kiupoleee kabisa habari ya wasomi wakimpongeza magufuli yan mbwembwe zote zimeisha dadadeq
Unacheza na watu ww na ole wako tukuone kwenye ziara zozote za magufu au ujilengeshe ikulu utakoma
Heko kwa emanuel buhohela some thing good on progress to u.

Huyu hana k8sa na wenzie wote wa itv kwani walielekezwa na mwenye mali wamtetetee mamvi
 
Nakumbuka kipindi kile wakati yuko chini ya utawala wa babu alikuwa anaripoti kikuda balaaa
Alishawahi kuniachisha dinner yangu ya 45000 kwa matei lounge dodoma
Akiripoti habari ya babu wakati yuko mara ile jamaa walikuwa wanapiga deki lami nilimchukia huyu mtoto to the maximum
Ila sasa kashakubali naona leo karipoti kiupoleee kabisa habari ya wasomi wakimpongeza magufuli yan mbwembwe zote zimeisha dadadeq
Unacheza na watu ww na ole wako tukuone kwenye ziara zozote za magufu au ujilengeshe ikulu utakoma
Heko kwa emanuel buhohela some thing good on progress to u.

Mgogo ule mlo wa 45000, du, siku hiyo kazi yako ya ombaomba ilikuendea vizuri, maana Nyie aslimia kubwa ndio kazi yenu
 
wakadek barabara ya kuelekea monduli MARA waliingia chaka "mura"
 
Back
Top Bottom