ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,859
Kumbe uliweka bifu na mtangazaji! !?Nakumbuka kipindi kile wakati yuko chini ya utawala wa babu alikuwa anaripoti kikuda balaaa
Alishawahi kuniachisha dinner yangu ya 45000 kwa matei lounge dodoma
Akiripoti habari ya babu wakati yuko mara ile jamaa walikuwa wanapiga deki lami nilimchukia huyu mtoto to the maximum
Ila sasa kashakubali naona leo karipoti kiupoleee kabisa habari ya wasomi wakimpongeza magufuli yan mbwembwe zote zimeisha dadadeq
Unacheza na watu ww na ole wako tukuone kwenye ziara zozote za magufu au ujilengeshe ikulu utakoma
Heko kwa emanuel buhohela some thing good on progress to u.