Naona CCM sasa wamechanganyikiwa

JERUSALEM 2006

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
527
Reaction score
596
Mwigulu na Makongoro
 

Attachments

  • 1443189307286.jpg
    26.2 KB · Views: 3,336
  • 1443189321245.jpg
    26.8 KB · Views: 3,213
  • 1443189331734.jpg
    24.4 KB · Views: 1,188
Hao watu huko nyuma wanawaona kama vichaaa.
 
Our side will show you how to do it on 25th of October!
 
Watu nchi zinazo fikiria mbali wanapiga push up za akili sio za mwili.. Ndo maana taifa limezorota hata chandarua mnakuja kuomba marekani..pumbavu sana
 
Mwigulu na Makongoro

insanity.

hivi hawa.... hawaoni kabisa kuwa kwa utoto huu hata wenye akili zao wachache waliokuwa bado wanawaunga mkono sasa watawapuuza?

looks like a psychiatric pack is unfolding right before our eyes!
 
Hivi wanafikili matatizo yawatanzania yatatatuliwa kwahizo pushup zao?

Kweli hikichama hakina tena watu wakuumiza vichwa kwaajili yawananchi.

Hivi uende ukweni kuposa mke uanze kuipiga pushup mbele yawakwe nawageni wao waliowaalika kwaheshima yako unatarajia nini zaidi wakwe kumwambia binti kwamba ndoa hakunatena maana huyu mkwe simkwe bali ni taahira.

Nasisi watanzania sasahivi tunajitambua kuliko wao wanavotudhania. Huu mwaka hadanganyiki mtu.
 
Watu nchi zinazo fikiria mbali wanapiga push up za akili sio za mwili.. Ndo maana taifa limezorota hata chandarua mnakuja kuomba marekani..pumbavu sana

Mbavvvvvvv sanaaa
 
CCM wote wamekuwa msosi wa Magufuli,Magufuli akijamba CCM wote wanajamba,Magufuli kawageuza kuwa misukule yake.
 
Acheni wivu nyie maukawa, nyie mpigieni kura el wenu na sisi tuacheni na magufuli wenu. Nyie siye walengwa wa kampeni za magufuli hivyo hamna sababu hata moja ya kutoa kejeri, matusi na dharau. Tuheshimiane!!
 
Push up peleka Gym ikulu mabadiliko lazima. Viva ukawa. Ccm endeleeni na push up za vijambo
 
Acheni wivu nyie maukawa, nyie mpigieni kura el wenu na sisi tuacheni na magufuli wenu. Nyie siye walengwa wa kampeni za magufuli hivyo hamna sababu hata moja ya kutoa kejeri, matusi na dharau. Tuheshimiane!!

Pumbavu hizo push ups zinatatua vipi matatizo ya WATANZANIA
 
Acheni wivu nyie maukawa, nyie mpigieni kura el wenu na sisi tuacheni na magufuli wenu. Nyie siye walengwa wa kampeni za magufuli hivyo hamna sababu hata moja ya kutoa kejeri, matusi na dharau. Tuheshimiane!!

Hukuna kuheshimiana na mfumo uliofeli ccm
 
We are waiting them aside then we 'll hit them.
 
Si walisema hawatumii chopa hapo naona wanashuka kwenye daladala , R.I.P Celina Kombani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…