bothlegs
Senior Member
- Apr 14, 2009
- 123
- 49
Dada mmoja alikuwa anapita njia katika kijiwe cha wahuni,akiwa amevalia kitop kikionyesha uwazi baina ya maziwa yake. Juu ya hicho kitop amevalia mkufu wenye lakti ya ndege (aeroplane) ambayo imekaa baina ya maziwa yake.Muhini mmoja akawa amekodolea macho yake ilipo ile lakti ya ndege. Yule dada akamwambia yule jamaa kwa mshangoo " HEE NAONA BOEING IMEKUZINGUA!.Yule muhuni akamjibu hajanizingua BOEING imenizingua hiyo AIRPORT.QWWW