Naona umerudi nasikia ulikuwa MWEZINI Mwanamke.Biashara ya anga inahitaji umakini, Rais Magufuli yupo makini
ATCL imeingia katika biashara ya anga kwa spidi kali sana na imenunua ndege za uhakika airbus na dreamliner tumeambiwa Boeing nyingine ipo njiani. Nina wasiwasi mkubwa sana katika uendeshaji wake kama shirika hili litatengeneza faida na kutufanya tutembee kifua mbele. Biashara ya ndege sio lele mama, hata yale mashirika makubwa ya ndege kama vile Emirates, Qatar yanapata msaada toka serikalini.
Je serikali ya MAGUFULI itaweza kuibebe ATCL, Kubebwa na serikali sio mbaya kwa wakati mwingine lakini inabidi usimame mwenyewe. Nimesoma habari hivi karibuni kuwa South AFRICAN AIRWAYS travel agent hawataki kukatisha tiketi zao kwani muda wowote linaweza kuwa kwenye adminstration.
Mpaka sasa ATCL ina safari moja tuu ya masafa marefu. Mumbai mara 4 kwa wiki. Safari za Africa kusini tumesitisha. commercial hub - hii inatugharimu. Ndege tulizo nazo tunazitumia zadi kwa masafa mafupi, DAR KJO, au DAR -MZA wakati ndege hizi zingepiga safari za masafa marefu ingekuwa vizuri. Rwandair, Kenya airway, na Ethiopia airlines, hawatumii AIR BUS au Boieng kwa safari fupi. Inabidi tujizatiti zaidi katika safari za masafa marefu kabla ya ndege zetu hazijaanza kuchoka. Ndege aina ya embraer 190 zingetusaidia sana kwa safari za nchi jirani kama vile na za ndani
Hata nchi za Ulaya safari za saa moja na nusu angani hawatumii haya ma air bus and Boeing 787-8
Nadhani hujaelewa point.tatizo no kutumia ndege kunwa kwa safar za masaa mafupi.Kenya .Ethiopia n.a. Rwanda zndege zao zinazokujab Dar ni Bombadier na Embraer .Hawatumii Airbus wala Boeing kwa safari za masafa mafupiInawezakan hujafatilia vizuri mkuu ndege zetu zinaenda safari nyingi tu za nje,kuna safariri tatu kwa kwa wiki za kwenda zimbabwe & zambia.pia kuna safari za Rwanda na uganda kila wiki.Mwanzo huwa huwa ni mgumu ila hata hapa tulipofikia ni hatua nzuri sana
Baba yako alifanya kosa kwa kutovaa kondomuNaona umerudi nasikia ulikuwa MWEZINI Mwanamke.
Hujui lolote kuhusu biashara ya mashirika ya ndege. Kaa kimya.ATCL imeingia katika biashara ya anga kwa spidi kali sana na imenunua ndege za uhakika airbus na dreamliner tumeambiwa Boeing nyingine ipo njiani.
Nina wasiwasi mkubwa sana katika uendeshaji wake kama shirika hili litatengeneza faida na kutufanya tutembee kifua mbele. Biashara ya ndege sio lele mama, hata yale mashirika makubwa ya ndege kama vile Emirates, Qatar yanapata msaada toka Serikalini.
Je, Serikali ya Magufuli itaweza kuibebe ATCL? Kubebwa na Serikali sio mbaya kwa wakati mwingine lakini inabidi usimame mwenyewe.
Nimesoma habari hivi karibuni kuwa South African Airways travel agent hawataki kukatisha tiketi zao kwani muda wowote linaweza kuwa kwenye adminstration.
Mpaka sasa ATCL ina safari moja tuu ya masafa marefu. Mumbai mara 4 kwa wiki. Safari za Africa Kusini tumesitisha. Commercial hub - hii inatugharimu.
Ndege tulizo nazo tunazitumia zadi kwa masafa mafupi, DAR KJO, au DAR -MZA wakati ndege hizi zingepiga safari za masafa marefu ingekuwa vizuri. Rwanda air, Kenya airway, na Ethiopia airlines, hawatumii Air Bus au Boieng kwa safari fupi.
Inabidi tujizatiti zaidi katika safari za masafa marefu kabla ya ndege zetu hazijaanza kuchoka. Ndege aina ya embraer 190 zingetusaidia sana kwa safari za nchi jirani kama vile na za ndani
Hata nchi za Ulaya Safari za saa moja na nusu angani hawatumii haya ma air bus and Boeing 787-8
Wewe ndio hujui lolote ,Emirates wanapata msaaada toka serikalini,Je Serikali ya Tanzania itaipa ATCl peas kujiendesha , Ethiopian airline wanatumia ndege ndogo kwa route za Dar,Rwandair wanatumia bombardier kuja Dar, KLM wanatumia Embraer 190 kuja London Hiyo in mifano michache tuHujui lolote kuhusu biashara ya mashirika ya ndege. Kaa kimya.
**Kutumia ndege kubwa kwa route fupi wewe unaumia nini? Emirates (hanaga ndege ndogo anatumia hizo hizo kwenda destinations hata za dakika 45 kutoka Dubai-Doha (Qatar), Dubai-Manama (Bahrain)
Unaongea nn wewe?Wewe ndio hujui lolote ,Emirates wanapata msaaada toka serikalini,Je Serikali ya Tanzania itaipa ATCl peas kujiendesha , Ethiopian airline wanatumia ndege ndogo kwa route za Dar,Rwandair wanatumia bombardier kuja Dar, KLM wanatumia Embraer 190 kuja London Hiyo in mifano michache tu
Wenzetu matimamu hutengeneza business plan kwanza. Si kazi ya kitoto. Inahitaji utalaamu na kuwa na options kadhaa.ATCL imeingia katika biashara ya anga kwa spidi kali sana na imenunua ndege za uhakika airbus na dreamliner tumeambiwa Boeing nyingine ipo njiani.
Nina wasiwasi mkubwa sana katika uendeshaji wake kama shirika hili litatengeneza faida na kutufanya tutembee kifua mbele. Biashara ya ndege sio lele mama, hata yale mashirika makubwa ya ndege kama vile Emirates, Qatar yanapata msaada toka Serikalini.
Je, Serikali ya Magufuli itaweza kuibebe ATCL? Kubebwa na Serikali sio mbaya kwa wakati mwingine lakini inabidi usimame mwenyewe.
Nimesoma habari hivi karibuni kuwa South African Airways travel agent hawataki kukatisha tiketi zao kwani muda wowote linaweza kuwa kwenye adminstration.
Mpaka sasa ATCL ina safari moja tuu ya masafa marefu. Mumbai mara 4 kwa wiki. Safari za Africa Kusini tumesitisha. Commercial hub - hii inatugharimu.
Ndege tulizo nazo tunazitumia zadi kwa masafa mafupi, DAR KJO, au DAR -MZA wakati ndege hizi zingepiga safari za masafa marefu ingekuwa vizuri. Rwanda air, Kenya airway, na Ethiopia airlines, hawatumii Air Bus au Boieng kwa safari fupi.
Inabidi tujizatiti zaidi katika safari za masafa marefu kabla ya ndege zetu hazijaanza kuchoka. Ndege aina ya embraer 190 zingetusaidia sana kwa safari za nchi jirani kama vile na za ndani
Hata nchi za Ulaya Safari za saa moja na nusu angani hawatumii haya ma air bus and Boeing 787-8
Ni ukwrli kuwa biashara ya usafirishaji kwa ndege ni ya ushindani mkubwa kama ilivyo biashara zote kubwa. Lakini...ATCL imeingia katika biashara ya anga kwa spidi kali sana na imenunua ndege za uhakika airbus na dreamliner tumeambiwa Boeing nyingine ipo njiani.