Naombwa mnisaidie hili swali limenishinda

Dauditairo12

Member
Joined
Apr 1, 2021
Posts
7
Reaction score
1
Write your story about time when you had difficulty dealing with someone and how did you handle situation?
 
We new member acha fujo, huu siyo muda sahihi kwako kuanzisha threads. Hebu jifunze features zinazopatikana Jamiiforum. Kisha tembelea majukwaa mbalimbali uone jinsi gani wenzio wanafungua threads na kujenga hoja. Baada ya hatua hizo unaweza kuchangia sasa na kuanzisha threads.
 
Write your story about time when you had difficulty dealing with someone and how did you handle situation?
Mkuu imeandikwa "write your story" which means my story might be very different from yours.

Nikiandika hapa story yangu inaweza isikusaidie so labda kama unataka maelezo jinsi ya kujibu swali lakini kama ni jibu la swali hapa kupata ni ngumu.

Hebu sema kinachokupa changamoto hapo ni nini? Je hujaelewa swali au labda lugha ni ngumu?
 
Sijalielewa swali
 
Wewe andika story yako usilete vingeleza vingii.We story zetu zinakuhusu nini kila mtu ashinde mechi zake.We sema usaidiwe make kila mtu amepitia kipindi kigumu.
 
Mkuu imeandikwa "write your story" which means my story might be very different from yours.

Nikiandika hapa story yangu inaweza isikusaidie so labda kama unataka maelezo jinsi ya kujibu swali lakini kama ni jibu la swali hapa kupata ni ngumu.

Hebu sema kinachokupa changamoto hapo ni nini? Je hujaelewa swali au labda lugha ni ngumu?
Sasa na wewe si uchague 1 kuandika mangoso-ngoso au kibantu.
 
Back
Top Bottom